Mchungaji afufuka akiwa mochwari

Mchungaji afufuka akiwa mochwari

Angefufuka baada ya kufukiwa kaburini, hpo ningeshirikisha ubongo wngu kidogo.
 
Ni mgonjwa ona hata mashavu yamemvimba atakuwa alizimia tu.
 
duh, mchungaji mwenyewe kajchubua kila mahali,,,,kweli watu wanautani na Mungu...
 
atapata waumini wengi sana huyo maana dar siku hizi unaweza ukaamua usiende hata kanisani jinsi hawa watu wanavyo changanya waumini
 
Back
Top Bottom