Mchungaji aambulia kichapo kanisani huko Sengerema akituhumiwa ni Freemason

Reucherau

JF-Expert Member
Nov 26, 2014
756
1,740
Waumini wa kanisa la Anglikana la Mtakatifu Yohana, Dayosisi ya Victoria Nyanza, Parishi ya Bomani wilayani Sengerema, mkoai Mwanza wamemshushia kipigo Mchungaji wa kanisa hilo, Joseph Kwangu wakati wa ibada ya jumapili ikiendelea, baada ya waumini hao kumtuhumu mchungaji kufanya mambo yanayoendana na ishara wanazozitumia Freemason. Waumini hao waliamua kubandika matangazo ndani ya kanisa, vyooni, milango ya kuingilia kanisani kumtaka mchungaji huyo asiingie ndani ya kanisa hilo. [ 135 more words ]

Mchungaji aambulia kichapo kanisani - Dar24

Mchungaji aambulia kichapo kanisani
Waumini wa kanisa la Anglikana la Mtakatifu Yohana, Dayosisi ya Victoria Nyanza, Parishi ya Bomani wilayani Sengerema, mkoai Mwanza wamemshushia kipigo Mchungaji wa kanisa hilo, Joseph Kwangu wakati wa ibada ya jumapili ikiendelea,…
dar24.com
 
Ndio maandiko matakatifu yanawata wafanye hivyo? Wamezijuaje alama hizo za freemasons? Kwa kumpiga ndio dawa ya kumuondoa kwenye shirika na freemasons?
 
Hiyo ni vita ya kiroho mlitakiwa kupambana kiroho pia,,,,,,, imani kitu kigumu ngoja niishie hapa
 
Kwa kuruhusu na kupigia upatu ndoa za mashoga na wasagaji nawaelewa Waanglikana wote ni wafuasi wa kanisa la mpinga kristo(Freemasonry)
 
Hapo ndo huja umuhimu wa watumishi kuwa waseja/ matowashi kama wa kule katoliki. Huwezi kuskia kuna huu upuuzi. Hapo ni vyeo na mali ndivyo vinawapiganisha
 
Tamaa ya mali na madaraka kwa viongozi wa kanisa la ndoa za jinsia moja (anglikani) ndo imewafikisha hapo. Wanagombana kila siku.
 
Lakezone bana m c shangai
Kama watu tena maskiniiii et wanakataa ELA za TASAF et ni za Freemason sembuse kushusha kichapo?
 
Hao wanabifu zao za kimaisha / maslahi
Waumini wa kanisa la Anglikana la Mtakatifu Yohana, Dayosisi ya Victoria Nyanza, Parishi ya Bomani wilayani Sengerema, mkoai Mwanza wamemshushia kipigo Mchungaji wa kanisa hilo, Joseph Kwangu wakati wa ibada ya jumapili ikiendelea, baada ya waumini hao kumtuhumu mchungaji kufanya mambo yanayoendana na ishara wanazozitumia Freemason. Waumini hao waliamua kubandika matangazo ndani ya kanisa, vyooni, milango ya kuingilia kanisani kumtaka mchungaji huyo asiingie ndani ya kanisa hilo. [ 135 more words ]

Mchungaji aambulia kichapo kanisani - Dar24

Mchungaji aambulia kichapo kanisani
Waumini wa kanisa la Anglikana la Mtakatifu Yohana, Dayosisi ya Victoria Nyanza, Parishi ya Bomani wilayani Sengerema, mkoai Mwanza wamemshushia kipigo Mchungaji wa kanisa hilo, Joseph Kwangu wakati wa ibada ya jumapili ikiendelea,…
dar24.com
 
Ndio maandiko matakatifu yanawata wafanye hivyo? Wamezijuaje alama hizo za freemasons? Kwa kumpiga ndio dawa ya kumuondoa kwenye shirika na freemasons?
kumtandika ni njia ya kumgomea asiwaingize kwenye maimani ya ajabu ajabu aende zake mbele kwa masonic wenziwe
 
Freemason hakunaga hicho kitu.imani tu, wanaojiita freemason ni waongo.ni watakatisha pesa tu na matapeli wa kiwango cha juu then wanajifichia kwenye neno freemason
 
ni wakala wa lucifer na wanaendelea kukuwa kwa kasi ya ajabu hawa ndo wale wa ule muhuri wa 666
 
Tunaweza kuwathibitishaje?maana hua kuna story tu na ukitaka mtu akupe ushahidi hatakupa isipokua kuongea tu,nishafatiliaga sana hii mambo sionagi ukweli wake ndo mana naonaga hawa ni watakatisha pesa tu wako karibia kila nchi duniani.matapeli fulani hivi wanaoingia kila nchi wanatafuta tapeli mwenzao ktk nchi husika wanakula ne dili na kumuongezea mbinu za kisasa kutapeli pesa na anakua agent wao.
 
Kama makanisani vichapo vinatembea, muda si mrefu majimboni na magogoni wananchi nako wataanza
Hakuna namna
 
Askofu wao huku Dar nae yalimkuta... Hivi kanisa hili lina laana? Au mnatazama mali zaidi kuliko Roho zenu? Kuweni kama wale wasiooa sijui ni wakatoliki wale sijawahi kusikia wakigombana.
 
Back
Top Bottom