Mchumba wangu ni Kikojozi

Mchumba wangu ni Kikojozi

Mpeleke hospitali ana pona kabisa wala usijali...
 
Mchumba wangu nikikojoz nimemvumilia kwa Mda mrefu Lakin sasa yamenishinda nasijui nifanyeje.kiukweli nimechoka naomba ushauri.

Eleza vizuri ni kikojozi wakati wa kula lile Tunda au kikojozi yeye mwenyewe tu akikaa kidogo unamtoka ovyo.? Kama ni kwa wakati wa kumla lile Tunda huyo ni mtamu zaidi usimtafutie dawa plz.
 
Mnunulie pampers halafu mwambie asinywe maji mengi usiku akitaka kulala!
 
Kama uko tayari ntakusaidia dawa maana huo huwa ni ugonjwa.dawa ntakupa bure were utalipia gharama ya kifurushi kwenye basi kama nauli.wengi nimesaidia wamepona .namba zangu 0717707565
 
Mpeleke kwenye jiwe kubwa. Mwambie akojoe halafu ashindane na mkojo kufika chini. Akiutangulia kabla haujagusa udongo basi hatakojoa tena kitandani. Ikiwa vise versa ataendelea kama kawaida.
Try it now!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom