BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Teh teh..Haya bwana..Mi ule ushauri wako niliufanyia kazi..Ndo natoka kupiga maji hapa na wife..
Safi sana.......
Teh teh
Teh teh..Haya bwana..Mi ule ushauri wako niliufanyia kazi..Ndo natoka kupiga maji hapa na wife..
mchumba wako kikojozi?,mnaishi nyumba moja?,jaribu kumtafutia diapers huwa zinasaidia
Inanishangaza, watu wanahangaika kuwakojoza wanawake zao, sasa wako anakojoa, sasa unaona kero. ????
Vote tumeshafanya lakin wapi labda nichakurith
Safi sana.......
Teh teh
Mchumba wangu nikikojoz nimemvumilia kwa Mda mrefu Lakin sasa yamenishinda nasijui nifanyeje.kiukweli nimechoka naomba ushauri.
Si bora kukojozwa unapata raha musttarehe kuliko kujikojolea sikero hiyo mkuuInanishangaza, watu wanahangaika kuwakojoza wanawake zao, sasa wako anakojoa, sasa unaona kero. ????
Mchumba wangu nikikojoz nimemvumilia kwa Mda mrefu Lakin sasa yamenishinda nasijui nifanyeje.kiukweli nimechoka naomba ushauri.
Bdala ya kumshaur mwenzen mnapga stor zenu