Mchumba wangu kanisaliti!! Niko kwenye maumivu makali naombeni ushauri

Mungu akubariki sanaaa ndugu yangu kutumia fursa hii kuelimisha wengine, suo kila jambo linalomkuta mwenzio ulichukulie Negatively kimzaha mzaha, kuujua udhaifu wa mwenzako haukufanyi wewe kuwa mkamilifu. STAY BLESSED

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukurani Sir, nimekupata vizuri bro wangu, alot of blessings to u

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sanaa MrRegion, nalifanyia kazi shauri lako, thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Broo unaroho mbaya sana aisee kumbuka ajamuowa ameshafanya ivyoo siku jamaa akiamuowa alafu akaamishwa kikazi na demu akiwa amebaki aliposaivi na ana kazi atafanyaje. Mtu ambaye si mwaminifu ata umvute karibu yako atakuliza tu.

Kisa kidogo rafiki yangu alikuwa na demu wake na walizaa kabisa sababu ya kazi walikuwa wanakaa mbali wilaya tofauti baada ya mda kidogo jamaa alisikia mkewe anatiwa na bodaboda na boss wake pia alipita jamaa akafanya uchunguzi kweli akambamba alipiga sana ila bdaye alimuamisha wakaa wilaya moja na ndoa wakafunga aisee yaliyofata ni hadithi maana mwanamke alikuwa anatoka apoapo nyumbani ikafikia akawa anatoka na boss wake tena. Jamaa akaamishwa kikazi mwanamke ndyo ikawa analeta hadi nyumbani . Ile ndoa haikudumi ilikaa miaka mi3 tu ikavunjika ila mwanaume alipata hasara maana waligawana viwanja walikuwa washanunua vitatu na gari likauzwa saivi anaanza upya kujipanga kwaiyo awe makini na hawa viumbe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naam mkuu. Tuko pamoja. Wanaoelewa hili wala hawapatagi tabu. Mahusiano yanakuwa smooth. Mwanamke anajikeep in check mwenyewe. Anakuwa on her toes.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sanaa MrRegion, nalifanyia kazi shauri lako, thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume bro tunapitia makubwa ila tuliumbwa majasiri sana katika kupambana. Nakushauri tafuta mwingine maana naamini kuna mtu yupo kwaajili yako na utafrahia uhusiano wenu Mpya kuliko kuhangaika na Malaya huyo ambae hata umsamehe atakusumbua sana na hutafurahia uwepo wako hapa duniani.

Bro plz kimbia sana huyo ni shetani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah Lovers Riddim
 

Kinachowauwa watu kwa stroke ni expectation hasa zinapoenda oposite so ukikosea kuamini m2 kwa 100%
Kwenye maisha hakikisha v2 viwili havikupati ili ubaki salama
(1)hakikisha humwamini binadamu awaye yote kwa 100%
(2)hakikisha hakuna m2 anayekuamini kwa 100%
Then utaishi kwa amani
 

hii iko sawa
 
Umeandika vitu vya msingi sana na hivi ndivyo tunapaswa kujua kuhusu wanawake

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…