G.T.L
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 777
- 1,264
- Thread starter
- #141
Mungu akubariki sanaaa ndugu yangu kutumia fursa hii kuelimisha wengine, suo kila jambo linalomkuta mwenzio ulichukulie Negatively kimzaha mzaha, kuujua udhaifu wa mwenzako haukufanyi wewe kuwa mkamilifu. STAY BLESSEDSamahani ndugu yangu kama nitakosea utaniambia.
Nimekusomasoma hata kwenye thread nyingine kuhusu Kuwashambulia wanaopata shida na kuhitaji msaada wetu na unatumia Eti kitunguu Swaumu kimekolea Mara unakuwa mtaalam wa lugha bila kujali maumivu ya mhusika.
Umeelewa mada why usijikite kushauri au ukapita kimya.Unaona fahari gani kumuongezea maumivu MTU ambaye wala hajasema baya lolote.
Nakusihi sana naomba uwe mwelewa na muungwana
Usitafute sifa kwenye maumivu ya watu .
Au kama mada zinakukera bora ukapita kimya.
Aksante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app