Mchumba wangu kaning,ata,

Mchumba wangu kaning,ata,

mkome

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2017
Posts
378
Reaction score
237
Wakuu nakuja jukwaani kuelezea yaliyonikuta siku ya leo, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31 bahati nzuli nilipigiwa simu na mama yangu mdogo kua kuna binti mahali flani ananifaaa.

Basi nikapanga siku nikaenda nikamwona, kweli alikua ni msichana mzuli sana basi tulianza mahusiano nae mapenzi yakanoga ndipo nikapanga mwezi wa 11 mwaka 2017nikajitambulishe kwao kwa kupeleka posa.

Basi jmosi hii nilichokiona kimeniuma sana binti alikua kazoea kuja kwangu kila weekend ,ghafla akabadilika ,akasema jmosi hii hatokuja kwani anaumwa alafu tulikua tunachati mara kwa mara ghafla siku hiyo mawasiliano yalikata, basi nikajifariji kua wenda kwa sababu anaumwa atakua kalala ama kachoka.

Nikaenda zangu kupepesa macho ghafla demu wangu kapita kabebwa na pikipiki kufatilia wanaingia maeneo ya gest na jemba imeniuma sana
 
Wakuu nakuja jukwaani kuelezea yaliyonikuta siku ya Leo, Mimi ni Kijana mwenye umri Wa miaka 31 bahati nzuli nilipigiwa simu na mama yangu Mdogo kua kuna binti mahali flani ananifaaa, basi nikapanga siku nikaenda nikamwona, kweli alikua ni msichana mzuli sana basi tulianza mahusiano nae mapenzi yakanoga ndipo nikapanga mwezi Wa 11 mwaka 2017nikajitambulishe kwao kwa kupeleka posa, basi jmosi hii nilichokiona kimeniuma sana binti alikua kazoea kuja kwangu kila weekend ,ghafla akabadilika ,akasema jmosi hii hatokuja kwan anaumwa alafu tulikua tunachati Mara kwa Mara ghafla siku hiyo mawasiliano yalikata, basi nikajifariji kua Wenda kwa sababu anaumwa atakua kalala ama kachoka nikaenda zangu kupepesa macho ghafla demu wangu kapita kabebwa na pikipiki kufatilia wanaingia maeneo ya gest na jemba imeniuma sana
mzuli-mzuri
 
Mama yako mdogo alipokuambia anakufaa, alikuwa na maana ya uliyoyafanya au
Siku nyingine akikupatia mwingine muulize ni kama yule?
 
Kesho yake yaani Leo jumatatu nampigia cm hana cha kunambia sasa nifanyeje wakuu na binti nilikua nampenda sana hadi sasa nampenda ila kanionyesha tabia mbaya nakua na mashaka Wenda badae akawa si mtu mzuli kwangu
 
Nimekoma Mkuu yaani nilikua nimeshawekeza Sana'a kwake ,ghafla ikawa hivyo nimekonda ghafla
 
Sidhani kama nitarudia tena sitowez mkuu
 
Kweli mapenz machungu huyo hakufai ni cha wote kaa naye mbali sana
 
Wakuu nakuja jukwaani kuelezea yaliyonikuta siku ya Leo, Mimi ni Kijana mwenye umri Wa miaka 31 bahati nzuli nilipigiwa simu na mama yangu Mdogo kua kuna binti mahali flani ananifaaa, basi nikapanga siku nikaenda nikamwona, kweli alikua ni msichana mzuli sana basi tulianza mahusiano nae mapenzi yakanoga ndipo nikapanga mwezi Wa 11 mwaka 2017nikajitambulishe kwao kwa kupeleka posa, basi jmosi hii nilichokiona kimeniuma sana binti alikua kazoea kuja kwangu kila weekend ,ghafla akabadilika ,akasema jmosi hii hatokuja kwan anaumwa alafu tulikua tunachati Mara kwa Mara ghafla siku hiyo mawasiliano yalikata, basi nikajifariji kua Wenda kwa sababu anaumwa atakua kalala ama kachoka nikaenda zangu kupepesa macho ghafla demu wangu kapita kabebwa na pikipiki kufatilia wanaingia maeneo ya gest na jemba imeniuma sana
Hamna demu hapo..Ova
 
Nilijua nikifika miaka 30+ nitakua na akili ila doooh
 
miaka 31 unajiita kijana??wewe ni mzee mkuu
Ahaaahahhahhahahahhaahhahhhaahhahhahahahhahaahhaahhaahhahahahhahahahhahahahaahhahhaahahahahahaahha dooooohhhh kali mnooooo hata mie nimeshangaaa aseeee

Sasa sie under 26 tujiiteje bwana....
 
Kwahiyo wakiitwa " Walio gongewa " na wewe utatoka mbele? •😀😀😀
 
Kama ulitongozewa na mama yako mdogo, nini unatarajia....!!
Sio mbaya ukienda msemelea kwa mamaako mdogo
 
Back
Top Bottom