Mchumba wangu kaenda chuo cha polisi

Usiwe na shaka.........kugongewa ni jambo lisilokwepeka kwa ninachokijua nayaliyonikuta......hata kama utamuoa ila lazima watagonga tuu hata mpeane maagano.......mi nilimpeleka chuo kimooja cha maswala yakijeshi....nikimlioia ada mwenyewe na niligongewa vizuri kabisa......na tuna ndoa ya kanisani.
 
Hahahaa pole Mkuu. Ndo maana mie nafikiria sijuwi nitafute mwanamke mzuri changu.doa au aliepitia umalaya wote nimuoe, nahisi wa hivi ndo anaweza tulia kwenye ndoa. By the way, mwanamke kuamua atmbwe nje, kunakuwa na sababu mbali mbali.
 
Usiwe na shaka.........kugongewa ni jambo lisilokwepeka kwa ninachokijua nayaliyonikuta......hata kama utamuoa ila lazima watagonga tuu hata mpeane maagano.......mi nilimpeleka chuo kimooja cha maswala yakijeshi....nikimlioia ada mwenyewe na niligongewa vizuri kabisa......na tuna ndoa ya kanisani.

Dah, inataka moyo kama ndo mmenga ndoa na kula kiapo cha uaminifu halafu bado mke anabebwa na jamaa wengine.
 
brother nikupe hongera kwani huko hakuna muda wa kuwaza mapenzi muda wote ni kazi tuu.pia ukienda kumtembelea unaweza kumsahau mpenzi wako vumilia tu ni wako huyo.
 
Hapo kaka.........sema na moyi wako......mi ningepewa nafasi ya kusahihisha nilipokosea.....kamwe usioe mwanamke kisha umpeleke shule/chuo.....lazima watagalagaza tu trust me.......kama unamzimia mbaya vumilia ila usijidanganye...ombaga asipste na mimba......na kama kiuchumi uko njema so sweat....ila kama na pesa ndo lofa mwenzangu....anza upya jomba....kwanza kitendo cha kukusaliti kashakuonyesha kwenye dili mlilopanga.....akiombwa utamu na boss wake atakataeje...nangekuwa anakupenda angekusikia na angeachana na huo mpango..
 
Of course kumsomesha mke ni hatari sana nimejionea jamaa zangu watatu wakizimia baada ya kusalitiwa na wapenzi/wake wao pindi wawapo vyuoni na kisha kuolewa na njemba zingine.
Mimi nilifikia hatua ya kumtafutia chuo akasome baada ya kuona kwao imeshindikana kumlipia karo ila sasa ndo hivyo tena kaaga anaenda kwa shangaz mwanza kumbe mtu kaenda Moshi CCP nimeumia sana baada ya kunitaarifu leo usiku.
 
Nampa tano huyo bi dada. Maisha kwanza, ma haba baadae. Kuna maza mmoja niliambiwa alipata fursa ya kwenda kozi ccp akatimkia kwa mme, mpaka leo kaishia kijijini, maisha.magumu ila.sijui upande wa furaha moyoni kama chaguo lake limempa furaha.zaidi ya ambavyo angekuwa amepata ajira.
 
MWANDENDEULE hapa town nikiamka saa kum na moja nawakuta barabani wanapiga mchakamchaka na kuimna nyimbo kama hawana akili nzuri!!! Kwa wanavyodau kuamka ni saa nane usiku saa tisa tizi inaanza duuuuuhh yan nawaoneaga huruma!!! Kuna mmoja nilimuona anaachwa nyuma kila siku sijui ndo demu wako????? Kwa kifupi akimaliza jiandae kushika adabu...maana ukileta ujinga utakuta unapigwa makofi na virungu mbele za watoto!!

Hahahahaaa. Watu hum mna maneno.lol
 
Last edited by a moderator:
Of course kumsomesha mke ni hatari sana nimejionea jamaa zangu watatu wakizimia baada ya kusalitiwa na wapenzi/wake wao pindi wawapo vyuoni na kisha kuolewa na njemba zingine.
Mimi nilifikia hatua ya kumtafutia chuo akasome baada ya kuona kwao imeshindikana kumlipia karo ila sasa ndo hivyo tena kaaga anaenda kwa shangaz mwanza kumbe mtu kaenda Moshi CCP nimeumia sana baada ya kunitaarifu leo usiku.
Nadhani wewe ndiye mwenye matatizo. Kwa mantiki hiyo hakupendi tena, jichanganye bro kwani anadhani umaskini wao utamfanya mtumwa wako. Ameamua kujinasua
 
MNDENDEULE,hata usihofu,ccp hakuna tabu yyt,kama demu wako anajiheshimu hakuna wa kumgusa labda apende mwenyewe hakuna wa kumlazimisha. Tena afande yyt akimlazimisha kuruta kusex naye kuruta akashitaki huyo afande anawez kushushwa cheo,kuhamishwa pale chuon, pia raia unaoa askari haina shida. Sheria ni miaka mitatu lakini wakishafika mikoani hata ndani ya mwaka wanaoa na kuolewa.kumegwa apende yeye ila hulazimishwi.
 
Ahsante kwa kunipa mwanga huko kwenye chuo chao maana nilikuwa nawaza mengi sana kama vile wale wakufunzi wanaweza kuwa wanajisevia demu yeyote wamtakie kwa kuvitisho vya hapa na pale kama za malecture wapenda kugegeda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom