decent girl
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 302
- 139
Habari za humu wana MMU.
Mimi binafsi sijawahi kutoa thread yoyote hapa MMU ila Leo nimeona nije mnipe ushauri.
Mimi ni ke nina mchumba wangu nimedumu naye almost a year ila siku za hivi karibun nimekuwa simwelewi kabisa, kwa mfano nimeenda kwake lakiin haonyeshi furaha uwepo wangu, ninachomuuliza ndicho anachojibu, anaweza akakaa siku nzima bila kunisemesha mpaka nianze mimi kuongea.
Yaani hii hali inaniuma na kuninyima amani ndani ya moyo wangu na nikimuuliza nimemfanya nini kwanini kabadilika hivyo anasema hakuna kitu, mwanzoni tulikuwa tunashikiana simu ila safari hii yeye simu yake kaweka password kila kona.
Kwa kweli nashindwa kumuelewa yaani sina amani ya moyo.
Naomba ushauri nifanyeje maana mpaka hapa nimeshachoka maana moyo wangu si wa chuma.