Mchumba wangu huyu simuelewi. Ushauri jamani.

OSWELELE

Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
54
Reaction score
4
nina mda naye mwaka 1 sasa ananishangaza jambo 1 kwamba kila nikimpigia cm majibu yake ni ya mkato mwisho anamalizia ninakazi tutaonge baadae na baadae yenyewe apigi nikimpigia ma jibu yaleyale sasa bc nikitaka kusitisha mahusiano nikimwambia tu anaanza kulia kuomba msamaa ikipita mda mambo yaleyale kiukweli simuelewi uyu wangu ukizingatia nilishaenda kujitambuplisha kwao.:help:
 
^^
Wapo wengi wa hivyo,,wakisha hakikishiwa ndoa ndo basi unaanza kujua side B yao!
Mvumilie,nalo litapita
^^
 
nina mda naye mwaka 1 sasa ananishangaza jambo 1 kwamba kila nikimpigia cm majibu yake ni ya mkato mwisho anamalizia ninakazi tutaonge baadae na baadae yenyewe apigi nikimpigia ma jibu yaleyale sasa bc nikitaka kusitisha mahusiano nikimwambia tu anaanza kulia kuomba msamaa ikipita mda mambo yaleyale kiukweli simuelewi uyu wangu ukizingatia nilishaenda kujitambuplisha kwao.:help:

wewe ni ke au me tukushauri vizuri
 
Kama economically upo njema hiyo ndo sababu ya yeye kutotaka kukatisha uhusiano....
 
basi na wewe usimpigie simu na akikupigia mwambie na wewe uko bize. akilia kuomba samahan mwambie umeshazoea machozi yake hivyo hayakuumizi tena
 
Mh! Pole ndo mkeo mtarajiwa huyo mvumilie tu .
 
....kila nikimpigia cm majibu yake ni ya mkato mwisho anamalizia ninakazi tutaonge baadae na baadae yenyewe apigi nikimpigia ma jibu yaleyale...........anaanza kulia kuomba msamaa ikipita mda mambo yaleyale ...

Usipoteze muda..jiulize swali mko wangapi katika nafsi yake? na nafasi yako katika hiyo list ni ipi?...In short.. Unajidanganya kuwa nae..hamna kitu hapo..Ushauri..fungua macho angalia mbali!
 
Dah munkari hakiyamungu una kiherehere!!! Kila topic umo tu...dah!!! Nataka kukuchumbia...
 
Wanawake wana machozi ya karibu sana na wanajua kuyatumia kwasababu wanajua ni udhaifu wa wanaume wengi,Huyo mwanamke hupo nae ukurasa mmoja na usidanganyike na machozi yake ana lake jambo...Fanyia uchunguzi suala hilo kuna kitu hapo kati....
 
nina mda naye mwaka 1 sasa ananishangaza jambo 1 kwamba kila nikimpigia cm majibu yake ni ya mkato mwisho anamalizia ninakazi tutaonge baadae na baadae yenyewe apigi nikimpigia ma jibu yaleyale sasa bc nikitaka kusitisha mahusiano nikimwambia tu anaanza kulia kuomba msamaa ikipita mda mambo yaleyale kiukweli simuelewi uyu wangu ukizingatia nilishaenda kujitambuplisha kwao.:help:
  • Shituka, chukua hatua, yawezekana hupo peke yako. Ila kati ya hao wote hakuna mwenye uhakika naye kwamba atamchukua jumla, Ndio sababu hataki muachane.
 
Dah munkari hakiyamungu una kiherehere!!! Kila topic umo tu...dah!!! Nataka kukuchumbia...

hahaha! Ukiona hivyo ujue imenivutiaaaa! Btw unamahari ya kiasi gani,mrefu?handsome?unamiliki nini,elimu yako,umri,una mastercard,account yako inashngapi?kabila lako,unakula mara ngapi kwa cku,unameno mangapi?dushe je? UKIWEZA KUJIBU HAYO KWA USAHIHI NA UFASAHA basi utakuwa umejipatia mke loh!
 
Duuuu si umwambie tu humtaki?
 
Kama economically upo njema hiyo ndo sababu ya yeye kutotaka kukatisha uhusiano....
It seems kuna kaukweli hembu nipe experience na mimi nina tatizo kama la mtoa thread,yani hata mki solve mwezi haupiti anarudia kama kawaida -ukitaka kumuacha tu atafanya kila njia hata kujihimia gheto asubuhi na mapema analiaaa........
 
Mwekundu
most of us ladies hatupendi kupga chini watu ambao wanatusapport economically(naongelea tunaopenda kutumia vya watu)
so inaezekana anakupenda kabisa ila kwa ajili ya mbanano uliopo ndo maana anaget busy na papaa a.k.a kibuzi kwa ajili ya maslahi
 
hahahaaa!!hapo sijui kama kuna mke
una mijihela wewe?
labda ndio sababu ya yeye kukuganda!!
mchunguze meeen labda yupo ampendae zaidi!!
 
Ananikumbusha girlfriend wangu fulani hivi alikuwa anaitwa Nancy. Alikuwa hivyo hivyo. Hatukuweza kuendelea maana hayo si maisha ya ukweli.
 
Usiumize moyo wako bure kwa kumpenda asiyejua kupendwa. Kaa kimya nawe uone kama atakutafuta akiendelea kuwa kimya basi ujue hakuwa na mapenzi nawe bali alikuwa anakuchora tu. Mapenzi siku zote ni two way traffic.

nina mda naye mwaka 1 sasa ananishangaza jambo 1 kwamba kila nikimpigia cm majibu yake ni ya mkato mwisho anamalizia ninakazi tutaonge baadae na baadae yenyewe apigi nikimpigia ma jibu yaleyale sasa bc nikitaka kusitisha mahusiano nikimwambia tu anaanza kulia kuomba msamaa ikipita mda mambo yaleyale kiukweli simuelewi uyu wangu ukizingatia nilishaenda kujitambuplisha kwao.:help:
 
Last edited by a moderator:
Tafta spare tyre Fasta

Sent from my BlackBerry Porsche Design
 
hahaha! Ukiona hivyo ujue imenivutiaaaa! Btw unamahari ya kiasi gani,mrefu?handsome?unamiliki nini,elimu yako,umri,una mastercard,account yako inashngapi?kabila lako,unakula mara ngapi kwa cku,unameno mangapi?dushe je? UKIWEZA KUJIBU HAYO KWA USAHIHI NA UFASAHA basi utakuwa umejipatia mke loh!
Munkari
Mi naweza kupanda bei....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom