Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,939
- 43,573
nina mda naye mwaka 1 sasa ananishangaza jambo 1 kwamba kila nikimpigia cm majibu yake ni ya mkato mwisho anamalizia ninakazi tutaonge baadae na baadae yenyewe apigi nikimpigia ma jibu yaleyale sasa bc nikitaka kusitisha mahusiano nikimwambia tu anaanza kulia kuomba msamaa ikipita mda mambo yaleyale kiukweli simuelewi uyu wangu ukizingatia nilishaenda kujitambuplisha kwao.:help:
fanya maamuzi magumu kumuacha,huyo hakupendi na wala hili haliitaji ushauri.
kinyume na hapo subiri maumivu.