Ok, thnx mkuuHata mheshimiwa alikuwa anapiga ziara za kushtukiza kwa lengo maalum.
Ukiona anakununia kiasi hicho kisa umempiga surprise, basi ana wasiwasi siku moja utamfumania.
Sasa kwa kuwa ni vigumu kukuambia kinachompa wasiwasi, anakutumia message kwa kukununia ili siku nyingine ukome kumfanyia surprise. Unakujengea wazo kuwa ukienda kwa surprise, basi jiandae kununiwa, na hata mchezo unaweza kunyimwa kabisa ukarudi Singida na maugumu yako.
Pa1 mkuu.Kwanini ufanye surprise
Labda hana mboga.hajapiga deki hajaosha vyombo na ubusy wa wiki. Au alikua na ratiba zake ukija mgeni lazima hizo ratiba zivuruguke.
Na kwanini unatembea njia nzima bila kumwambia mwenzio labda anataka kukufanyia maombi ukiwa njia si unajua kuna ajari nyingi njiani
Sikiliza kile mpnz wako ana penda kufanyiwa siyo kila unalo sikia huko nje kua ni njia ya kuonyesha upendo basi lazima ulijaribu mengine yanaharibu mahusiano
Anza kutoa taarifa kuanzia sasa
Nadhani anakupenda sana, ukimfanyia Surprise anastuka sana, usije ukamuua mtoto wa mwenzio, msikilize anachokuambia.Nimeanzisha hii thread maksudi coz kwa kweli mchumba angu ananinyima raha sana maana yeye yupo anaishi ifakara kikazi then mimi nipo Singida kikazi bt kitu cha kushangaza hataki niende kwake bila kumtaarifu mapema,nikienda bila taarifa huwa ni ugomvi mkubwa sana inafikia stage hatuongeleshani kbxa yan nataman kurudi nlikotoka wakati huohuo, wakuu hivi na nyie mnafanyiwa hivi na wachumba zenu? Naomba ushauri
Ok, thnxKwanini ufanye surprise
Labda hana mboga.hajapiga deki hajaosha vyombo na ubusy wa wiki. Au alikua na ratiba zake ukija mgeni lazima hizo ratiba zivuruguke.
Na kwanini unatembea njia nzima bila kumwambia mwenzio labda anataka kukufanyia maombi ukiwa njia si unajua kuna ajari nyingi njiani
Sikiliza kile mpnz wako ana penda kufanyiwa siyo kila unalo sikia huko nje kua ni njia ya kuonyesha upendo basi lazima ulijaribu mengine yanaharibu mahusiano
Anza kutoa taarifa kuanzia sasa
Anacheat huyo.In short hatak niende kwke kbxa masharti yanakuwaga mengi xna.