Mchumba wangu hapendi kufanya ngono, ninapata tabu sana

Huyo hakufai mkuu ( alisikika akisema mlevi mmoja).

Jaribu kukaa chini na kuongea nae, akuelezee sababu hasa ni nini. Siku zote huwa kuna sababu.

Inawezekana anaogopa kukwambia mapungufu yako kwa sababu unaweza kupeperuka.

Kuna kipindi unaweza kaa na mtu miaka hata minne na usimjue. Hasa hasa ukiwa busy, na hapo ndio mwanzo wa bodaboda kufanya mambo.
 
Aseeee!penye miti hamna wajenzi

Sisi wengine sex ni kama chakula,

Ukikaa vizuri utakutanishwa na ukuni asubuhi mchana na jioni,

Sasa inapotokea mtu hata kwa week hawezi kukupa ile heavy mara moja ni majanga,

Bahati mbaya hali hiyo anaiona kawaida tu halafu ana claim anakupenda,

Ukisema umuache atalia ataleta mpaka babu zake marehemu wasuruhishe

Ukitafuta chakula nje napo ugomvi

Mawasiliano ni kila kitu ...wakati mwingine hapendi sababu ya uoga .Yaani yeye mwenyewe hajui aguswe wapi afurahi sasa ni jukumu lenu kutengeneza bondi
Pia kuwa wazi kumuonyesha kuwa hutosheki na haupo tayari kuuza mechi
Mwanzo atafanya kwa kukuridhisha ila baadae atakutafuta ww sasa


Sasa kama ni uoga mpaka lini?

Mimi huyu wangu leo mwaka wa nne bado yale yale

Nimeongea nae kwa ustaarabu mpaka nikachoka

Nikamkanya ila wapi
 
Hakupendi hata kidogo ila anajilazimisha tu sababu umemwahidi kumuoa
Mwenyewe anampenda sana mtu mwingine ambaye akimwona tu analoa!
Sema jamaa hana muda nae
Wakuu heshima kwenu, bila shaka weekend inaenda vyema kabisa.

Husika na kichwa cha uzi. Mchumba wangu nipo naye kwenye mahusiano kwa muda sasa na maandalizi ya ndoa yanaenda vyema kabisa. Nashukuru kwa hatua hiyo.

Mahusiano yetu yamekuwa ni ya kushibana, yamejaa upendo, furaha na amani lakini kama ilivyo kawaida mapungufu huwa hayakosekani kuhusu jambo husika.

Suala la mapenzi/tendo la ndoa, mwenzangu hana hisia nalo kabisa na halitilii umuhimu. Hili jambo linaniumiza kichwa sana na kupelekea kukosa usingizi usiku ukizingatia nina mpenda sana. Nimejaribu kumshawishi sana japo aoneshe hisia lakini imeshindikana, sijui tatizo ni nini..na sijaweza kulibaini hadi sasa.

Wakuu nifanyeje ili niweze kurudisha furaha ya mahusiano haya.Upendo bila mzizi wake wa tendo huo unakuwa sio upendo tena. nisaidieni nirejeshe upendo. Kama kuna aina yoyote ya dawa inayoweza kuboost hili tatizo nisaidieni niweze kumrejeshe mchumba hisia na hamu ya tendo.

Karibuni wana JF tuokoe MV Magogoni inazama huku, maana huu mwendo si rafiki kabisa inaweza kuzama muda wowote. Tumsaidie rafiki yangu aisee.
 
Rafiki yako ama wewe ndo mhusika mkuu, anyway jaribu kumshirikisha uone kama atakuwa nae anajutia kuwa hivyo otherwise hizo ndo wanasemaga Kipenda roho imegoma.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hii huwa inatoke sana kwenye mahusiano ambayo mwanaume ni mwaminifu sana utakuta mwanamke anamnyima mwenza wake huku akiamini jamaa yake ni mwaminifu hawezi chepuka..dawa ni moja tu its a safe approach and very compromised...kuwa tu busy na simu yako na wala usiombe mechi muda mrefu
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hio tabia ndio ilinibadilisha nikawa fisi
 
Nothing disappears joooooh.. Only changes.


Kama mwanzo mambo yalikua mukideee


Basi amin amin nakuambia,, hamna viumbe wapenda ngono kama wanawake.

Unadhan wanaume tunapenda ngono????? Asalalee ...Madem wanapenda kutiana sana.


Ivo basi, ngumu hii kumeza, ila ndo ukweli.

Mchumba wa rafiki ako, anatiwa na msela mwingine...


Naaaa usikute hata yeye kwasasa hana mpango wa Ndoa kichwan.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ huyo jamaa
Tendo la ndoa ni ngumu kwa sababu amjafunga ndoa lakini mwambie muwe mnafanya mapenzi kama sisi mabaharia lazima hakupe kila wakati..Mkuu usije ukawa kama yule aliye chukua demu mpaka kwake wakati ana mla demu akasema nipeleke uwani jamaa akamfungulia mlango mpaka chooni dem alivyo ludi aka anza game dem akasema tena nipeleke uwani jamaa akasema utakuwa una mkojo mwingi sana dem akasema sija maanisha chooni dushe peleka upande wa pili jamaa akasema siungesema mapema...
ni mimi kabisa
 
Subiri muoane,tendo la ndoa wakati mko kwenye uchumba wapi na wapi!halafu unalalamika kama vile ni halali yako...
iko nongooo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚,,, hizi ndio faida za kutulia na mama kwa mjengo, angeyajuaje kama anaoa mke mchoyo wa uchi!? Ndoa hapo ni kams hakuna, mpango wa kupiga shineboi ni lazima wala sio ombi.
 
Back
Top Bottom