Mchumba wangu hapendi kufanya ngono, ninapata tabu sana

Mchumba wangu hapendi kufanya ngono, ninapata tabu sana

Ana watoto? Kazi inayomstress?,alibakwa?alikeketwa? amekua na uhusiano alionyeshwa kuwa hapendwi??labda anaona unampendea sex na sio kitu kingine,inakuwaje mna mapendo na mnajaliana kama ulivyoandika halafu UNASHINDWA KUMUULIZA JAMBO KAMA HILI....tatizo sio yeye tu peke yake..tatizo ni lenu wote ..hakuna ''communication''....
 
Hii huwa inatoke sana kwenye mahusiano ambayo mwanaume ni mwaminifu sana utakuta mwanamke anamnyima mwenza wake huku akiamini jamaa yake ni mwaminifu hawezi chepuka..dawa ni moja tu its a safe approach and very compromised...kuwa tu busy na simu yako na wala usiombe mechi muda mrefu
Dah!!
 
Umri wenu tafadhari maana kama ni watu wazima flani hivi wengine mapenzi ya ngono huwa sio kipaumbele sana wanapenda mapenzi haya ya kawaida tu kama kuongea kutembea kupanga mipango pamoja na kushauriana kawaida kama akiendelea hivyo ndoa yenu itakuwa imara sana
 
Kuna dada mmoja niliwahi kuwa nae kwenye mahusiano miaka iliyopita, mwanzo wa mahusiano alikuwa kama huyo wa kwako lakini kadiri siku zilivyosonga mbele alianza kubadilika akawa anapenda kutiana hadi nikabaki najiuliza nini kimemkumba!

Nilimfanyia utafiti nikagundua sababu ilikua ni yule mwanaume aliyekuwa naye kabla ya kukutana na mimi, kwanza wakati wa kumbikiri "alimbaka" (force impression), halafu alijijali yeye tu badala ya kuwa shirikishi, kwa mfano; hakumuandaa badala yake akawa akidindisha anamsokomezea liboloyanki lake anammwagia shahawa basi imetoka hiyo- matokeo yake akamsababishia hali ya kutoona umuhimu wa kuchapana miti.

Sasa alipokuja kukutana na maandalizi ya about thirty to forty five minutes, romance za kufa mtu lainiiiiii, mororoooooo balaaaaa, massage hadi anajikuta magoli yanamjia kama yote, kitumbua kinalowana chapachapa ukiweka kichwa tu inateleza inajaa mazima anabaki anaachama midomo ova anakata pumzi kuku akipiga makofi na kuzungumza kwa ishara zile za kusontea kule kwa down, ukimnong'oneza na maneno matamu yaliyojaa mahaba anabaki analia na kucheka kama chizi vile.

Unakuja kummaliza wakati wa mapumziko unamvalisha nguo kama vile vyupi vyupi na cheni na hereni na kadhalika ulivyomnunulia kama zawadi za surprise, ayaaaaa! Hakiyanani lazima akupanulie umtandike boloyanki tena na tena na tena

NB; ke anayebania puchi lake hapana aiseeee
SIKILIZA Mbalizi huu ushauri uliotoa anaweza kuutumia kama mahari ili apewe mke. Boya umetoa ushauri wa HELA YOTE.
 
Wakuu heshima kwenu, bila shaka weekend inaenda vyema kabisa.

Husika na kichwa cha uzi. Mchumba wangu nipo naye kwenye mahusiano kwa muda sasa na maandalizi ya ndoa yanaenda vyema kabisa. Nashukuru kwa hatua hiyo.

Mahusiano yetu yamekuwa ni ya kushibana, yamejaa upendo, furaha na amani lakini kama ilivyo kawaida mapungufu huwa hayakosekani kuhusu jambo husika.

Suala la mapenzi/tendo la ndoa, mwenzangu hana hisia nalo kabisa na halitilii umuhimu. Hili jambo linaniumiza kichwa sana na kupelekea kukosa usingizi usiku ukizingatia nina mpenda sana. Nimejaribu kumshawishi sana japo aoneshe hisia lakini imeshindikana, sijui tatizo ni nini..na sijaweza kulibaini hadi sasa.

Wakuu nifanyeje ili niweze kurudisha furaha ya mahusiano haya.Upendo bila mzizi wake wa tendo huo unakuwa sio upendo tena. nisaidieni nirejeshe upendo. Kama kuna aina yoyote ya dawa inayoweza kuboost hili tatizo nisaidieni niweze kumrejeshe mchumba hisia na hamu ya tendo.

Karibuni wana JF tuokoe MV Magogoni inazama huku, maana huu mwendo si rafiki kabisa inaweza kuzama muda wowote. Tumsaidie rafiki yangu aisee.
Mkuu we ni sukari ya warembo imekuaje sasa [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]

Nacheka sio kama mazuri ila dah
 
Mkuu wewe ni mtu mstaarabu sana. Mpaka umekuja kulalama humu kwa mara ya pili basi maji yamekufika shingoni.

Tendo la ndoa ni muhimu sana kwenye mahusiano yoyote yale iwe BF na GF, stage ya uchumba na hata ndani ya ndoa. Kama mmoja haridhiki mahusiano yatalegalega sana na huweza hata kufa.

Ushauri wangu kwako ongea na huyo shem mpe ultimatum kwamba huwezi kuvumilia hali hiyo pamoja na kuwa unampenda sana. Mwambie abadilike na abadilike haraka sana ili aweze kukidhi matakwa yako za kuwa naye kwenye tendo la ndoa mara kwa mara. Hataki kubadilika basi PIGA CHINI haraka sana.

Wakuu heshima kwenu, bila shaka weekend inaenda vyema kabisa.

Husika na kichwa cha uzi. Mchumba wangu nipo naye kwenye mahusiano kwa muda sasa na maandalizi ya ndoa yanaenda vyema kabisa. Nashukuru kwa hatua hiyo.

Mahusiano yetu yamekuwa ni ya kushibana, yamejaa upendo, furaha na amani lakini kama ilivyo kawaida mapungufu huwa hayakosekani kuhusu jambo husika.

Suala la mapenzi/tendo la ndoa, mwenzangu hana hisia nalo kabisa na halitilii umuhimu. Hili jambo linaniumiza kichwa sana na kupelekea kukosa usingizi usiku ukizingatia nina mpenda sana. Nimejaribu kumshawishi sana japo aoneshe hisia lakini imeshindikana, sijui tatizo ni nini..na sijaweza kulibaini hadi sasa.

Wakuu nifanyeje ili niweze kurudisha furaha ya mahusiano haya.Upendo bila mzizi wake wa tendo huo unakuwa sio upendo tena. nisaidieni nirejeshe upendo. Kama kuna aina yoyote ya dawa inayoweza kuboost hili tatizo nisaidieni niweze kumrejeshe mchumba hisia na hamu ya tendo.

Karibuni wana JF tuokoe MV Magogoni inazama huku, maana huu mwendo si rafiki kabisa inaweza kuzama muda wowote. Tumsaidie rafiki yangu aisee.
 
Nina wangu huyo tupo kwenye ugomvi mkubwa mpaka basi now

Picha linaanza mimi ndo nilifungua njia so mwanzoni nikawa nampeleka taratibu azoee

Tatizo lake ni kwamba anabana miguu mpaka basi yaani anaruhusu kitu kinaingia kidogo halafu anasogeza miguu

Nilishamwambia tukakaa tukaongea sometime nanuna na ananiomba msamahana anaahidi haitajirudia

Nimejifahidi kumuandaa ila ikifika tu kuweka muoga unamuona kabisa kitu kimetepeta ila uoga ndo kwao

Basi mzee inabidi niwe natafuta kazi za nje tu hamna namna kwa sababu ni miaka kadhaa hazoei

Upendo kwangu anao sana some times huwa anajitahidi analegea ila muda mwingi ni hivyo

Kwangu mimi mikasi ni basic need na nilishamwambia zaidi na zaidi haelewi

Na kwshanikamata mara kibao na wengine analia naomba msamaha yanaishi ila tukirudi kitandani yale yale

Kifupi siwezi kuridhika na mwanamke wa vile

Mimi ukinitegea tu kama demu wa gwaji boy poa namaliza fresh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom