Mchumba wangu ana jini mahaba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchumba wangu ana jini mahaba

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Isalia, Dec 31, 2011.

 1. Isalia

  Isalia JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 948
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Nimebahatika kupata mchumba nadiriki kusema tunapendana ila kunatatizo linamsumbua mchumba wangu huwa baadhi ya usiku huingiliwa usingizini na akiamka huwa na dalili zote za kufanya ngono tena hapo huanza kunichukia mimi bila sababu kwa muda kama usiku tatu na baadhi ya siku kunambia hanitaki ila akisha tulia huwa na upendo mzuri tu kwangu wasiwasi wangu tukija kuona kweli tutadumu kwa hali hii au niachane nae kiukweli tunapendana.
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  toka nduki kabla ujafa kwa presha..
   
 3. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2011
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Pole sana mwambie ajaribu kusoma dua hili kila kukicha.

  BISMILLAH ALADHI LAYDHURU MAIISMI SHEY FIL ARDHI WALA FIL SAMAA WAHUWA SAMIIU AL ALIMU.


  Tafsili yake; UNAMUOMBA MUNGU AKUKINGE NA KILA BALAA LILIOPo CHINI YA ARDHI AU JUAA YA MBINGU NALISIKUDHURU BILA AMRI YAKE MUNGU.

  Usiimkibie kuwa naye tu...na jini mwisho litasarenda.
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Dec 31, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Kimbia haraka,tena ucangalie hata nyuma mkuu.
   
 5. Isalia

  Isalia JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 948
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Ahsante sana mungu akubariki kwa hilo
   
 6. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #6
  Dec 31, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Hahaha ....

  Sent from my HTC Incredible S using Tapatalk
   
 7. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #7
  Dec 31, 2011
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ndo ukubwa kakaD jikaze
   
 8. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #8
  Dec 31, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mpeleke akaombewe kwa jina la yesu hilo dubwana litaondoka na halitarudi tena!upendo wa kweli huvumilia na co kumkimbia mwenzio kwa tatizo lenye ufumbuzi!ukimkimbia leo ww unaijua kesho yako?km ni mwanaume utashirikiana naye mmalize tatizo ila km ni mvulana utamkimbia kwan hata hivyo utakua huna cfa za kuwa mume!
   
 9. Blue_Face

  Blue_Face Member

  #9
  Dec 31, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  ni popobawa huyo - iko siku akiwa mkeo hayupo ujitayarishe.......... you got wht i mean, hahaha
   
 10. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #10
  Dec 31, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Yana mchezo yakimchoka mchumba wako yata badilisha kibao.
   
 11. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #11
  Dec 31, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Mkuu unampenda kweli huyo? Kama unampenda utakuwa nae mpaka aondokane na hilo tatizo. Hilo tatizo sio kubwa linatibika sana. Binadamu tumeumbiwa matatizo, na dawa ya tatizo sio kukimbia ila kupambana nayo tu. Hujui kesho mkuu itakuwaje kwenye maisha yako
   
 12. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #12
  Dec 31, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  nikiripota habari hii mi ni askufu kakobe dochi vele mlimani city
   
 13. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #13
  Dec 31, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  he he he jf ina raha.....pole ndugu
   
 14. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #14
  Dec 31, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo hayo majini mahaba yanammiminia manii ndani?au yanatumia ndom?
   
 15. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #15
  Dec 31, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  duh, hapa ndio penye maumivu sasa...; and vipi sounds na miguno ya kimahaba wakati yanamto***?
   
 16. Elly Andrew

  Elly Andrew JF-Expert Member

  #16
  Dec 31, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 372
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  acha utani wa kijinga we boya,au ndo unafanya kujifunza?hii si komedi...
   
Loading...