The Hidden
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 246
- 102
Hahhah daaaah aya bana ila sipendagi kubadilibadili wapenziMkuuu vyupi vingi hivi mtaani unahangaika na kyupi kimoja..... dawa yake ndogo sana piga chini na kaa kimya pia...."
Akijileta kuomba msamaha unamweka machine then mkataba unakuwa umeishia hapo hawa viumbe ukiwambembeleza wanakupanda kichwani mkuu.....
Huu ndio ukweli mchunguHuyo ni mchumba wa mtu tena sio wako
Sasa unaambiwa ukweli, alafu unatoa povu.....
Duhh.....Mkuuu vyupi vingi hivi mtaani unahangaika na kyupi kimoja..... dawa yake ndogo sana piga chini na kaa kimya pia...."
Akijileta kuomba msamaha unamweka machine then mkataba unakuwa umeishia hapo hawa viumbe ukiwambembeleza wanakupanda kichwani mkuu.....
Ushauri: Amesema hahitaji mahusiano wala kuolewa na mimi, ila bado nampendaMchumba wangu amenizimia simu mara tu baada ya kutomjibu msg zake kwa wakati, Leo ni siku ya 8 sasa.Wakuu hii inaashiria nini? Na nifanye nini? (Tupo mikoa tofauti kikazi).
Sent using Jamii Forums mobile app
We endelea kumchekelea na kubembeleza mkuu "Ukute muda huu yupo anachezea machine ya mwanaume mwenzako " ndipo hapo utakuja jua kuwa mwanamke si mwenzako😡😡😡
Lakini nimejifunza,ushauri mwingj hapa huwaga ni wa uongouongo na kuutendea kazi ni kujipoteza, kwakherini na-log off!Ushauri: Amesema hahitaji mahusiano wala kuolewa na mimi, ila bado nampenda
Mbona jibu unalo alafu unalazimisha ushuzi.....