MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 20,715
- 42,798
Mwanamke aliegoma kukusikiliza, tambua wewe ni option kwake kwa tafsiri nyingine huna upekee wowote kakwe, ameamua kuamini katika kazi kuliko kuamini katika wewe.Imeisha hiyo
namba,au mbususu kuliwaAcha akasome
Hamna point hapa ,umeongea ujinga mkuu ,kumjali mtu ni kuwa kipofu? siwapo wengi nachagua tu akizingua ,ila hajazingua amekuwa mkwelPumbavu! Kumbe we ni mgeni wa mapenzi na ndio unaanza kupenda! Ndio una balehe nini? Huu ni ugeni kwenye mapenzi, ngoja uyazoe, ukishayazoea na kuwajua wanawake tabia zao hutakaa uandike njozi hizi za mapenzi. Hizi ni njozi za mapenzi kwa vijana wanaoanza kupenda huona mwanamke fulani wanapendana sana kumbe ni kipindi cha mwanzo tu na cha mpito kwenda kwenye mapito ya milima na mabonde ya mahusiano ya kimapenzi, huwa kuna nyakati ngumu na ni lazima penzi lipitie changamoto hiyo mpaka wapenzi hujuta kufahamiana na kukutana, ila endelea na njozi zako za kupenda maana uko kwenye kipindi cha awali kuyajua mapenzi kama kijana mdogo anayebalehe
Ndo ushaachwa sasa.😂😂😂watu sjui mnastress za maisha ,amepangwa ccp moshi ,hizo ni kambi ila wapo under CCP na nimeconfirm jina lake kwenye PDF
umeongea vyema ,ndo maana nimeona sio shida aende apambanie maisha yake ,nitasubiria ni miez tisa tu akibadilika nina move onAlichokifanya ni sahihi 200%
1. Mapenzi yanapungua na kuisha kabisa, hapo ndipo umuhimu wa kazi utakuja
2. Ungemuoa wewe mwenyewe ungemuona mzigo kama ambavyo wengi tunaona baada ya ndoa
3. Huwezi kumeet demand zake na za familia yake ( ungemchoka mapema tu hasa kama familia ina mategemeo makubwa sana kwake)
MWISHO
Ni upumbavu mkubwa Kuacha kazi kwa ajili ya mwanaume ambaye badaye akikuchoka anakufanyia vitimbi na kukuona huna thamani kisa huna kazi nk.
Wanawake kibao wameachishwa kazi kisha baadae wakatelekezwa na hao wanaume wao.
Tafufa mwanamke anayefanya kazi unayoipenda, ila mimi siwezi kuruhusu mtoto wangu aache kazi kisa mwanaume ambaye hana guarantee ya kuisha naye muda wote
ahsante sana mkuu ,nashukuru kwa maneno yako ,yes nipo nae serious ntamsubiriaHilo sahau, kule mambo ya mapenzi ni hakuna kabisa
Sheria ni kali kinoma hata kwa walio pale, kukaa na mwanamke ni jau.
Pia kama una plan naye miezi 6 mpaka mwaka mmoja sio muda mwingi
Maana hata ukienda huwezi kugonga,
Kama upo serious vumilia tu
Utaratibu wa kumtembelea si umuulize yeye mwenyewe? Au huna namba yake? Au unataka kumsuprise?Of course limekuwa jambo lakuhuzunisha sana lakini sina Budi maana binti alinieleza kabisa kwamba kabla sjaanza nae mahusiano wiki moja nyuma alishaconfirm na familia yake kwamba anaenda Polisi japo aliniambia kwamba hakutamani kwenda ila msisitizo wa Familia na yeye kusema ugumu wa maisha ,japo nilimwambia kwamba baada ya miez miwili ntaenda kupeleka posa kwao then nikae nae maana hapa ninapofanya kazi ninaingiza zaidi ya milion kwa mwez
Niseme kwamba niligombana nae sana alivyoniambia kuhusu polisi maana kwa mimi sijaiona kama ni kazi ambayo nilitaka mke wangu aje kuifanya kulingana na purukushani zake ,nikamtishia hadi kuachana nae ila ndyo hvyo binti hameshindwa kasema kuacha huku akidai kwamba atamuua mama yake kwa presha akikataaa sasa hivi
Ujumbe wake wa mwisho kwangu sababu kulingana na sheria za Chuo cha polisi Moshi hairuhusiwi kutumia simu ,nimeconfirm pia jina lake kwenye pdf la waliochaguliwa
Ujumbe wake wa mwisho ulikuwa " Nakupenda na naamin ndani yako kuna mwanga ambao Mungu mwenyew ameuweka,kila unachogusa kitafanikiwa naomb kwa Mungu akulinde na akutie nguv akufungulie na milango ya baraka Usisahau Nipo nawe na naamin kwako na moyo wangu upo upande wako daima....ubaki salam naiman kat ya watu waliochaguliwa kwenye scholar ship nawe upo ntakutafut Nikipata nafas na ikiwa nmerud hutakii mahusian na mim ni sawa ntakubalian na halii ila juwa Nakupenda San kutokukusikiliz kweny hili sio shida kwangu Niachee kukupendaa coz ni mwanaume mwema San kwangu na haijawah kutokea...sijawah kufikiria ksm ntskuj kupenda kuwa polis ila maish ya nyumbn na yangu nmeamua kufany maamuz haya...nakupenda San kaa ukifaham Hilo"
Niongeee kwamba huyu binti amekuwa mwanamke bora sana kuwa nae anasifa zote ,ni mpole anaskiliza ,hana mawenge yani she is perfect , binti pia anatokea Tanga ila anakaaa pwani.
Japo na mimi nina ondoka kwenda kusoma masters kwa scholarship Nchini Uingereza mwez wa tisa mungu akipenda ambapo ntakaa mwaka mmoja ila jambo hili limeniuma maana she is the one sitamani nimpoteze
Je nauliza Utaratibu wakumtembelea Mtu CCP moshi ukoje ,nikisema atleast niwe naenda moshi kila mwisho wa mwezi kumtembelea ruhusa yao ipoje ?
Wameondoka juzi tarehe 12 na ameniahidi kunitafuta japo sjui ni lini maana hawaruhusiwi simu ?
Kwenda moshi sio shida maana ndo nyumbani nimezaliwa na nimesoma mpaka form six kabla yakuja dar kusoma chuo na kufanya kazi
Je Kuna usalama kwel wa watoto wakike hapo CCP ? japo binti anajitambua sana najua hawez fanya ujinga .
Ntashukuru Nikipewa majibu
hUlitaka asisikilize familia yake akusikilize wewe boyfriend ambae hana uhakika na future ye
ili sio kwel hawaogi sehemu mojaWanaoga bafu moja wanaume na wanawake uko ccp wasiwasi wangu ni yeye kwenye kuchukua sabuni chini
Mimi nilipoteza mpenzi wangu alienda polisi ni hivi wakifika kule wanaanza mafunzo huwa ni miezi kumi hadi mwaka yategemea na input ....Of course limekuwa jambo lakuhuzunisha sana lakini sina Budi maana binti alinieleza kabisa kwamba kabla sjaanza nae mahusiano wiki moja nyuma alishaconfirm na familia yake kwamba anaenda Polisi japo aliniambia kwamba hakutamani kwenda ila msisitizo wa Familia na yeye kusema ugumu wa maisha ,japo nilimwambia kwamba baada ya miez miwili ntaenda kupeleka posa kwao then nikae nae maana hapa ninapofanya kazi ninaingiza zaidi ya milion kwa mwez
Niseme kwamba niligombana nae sana alivyoniambia kuhusu polisi maana kwa mimi sijaiona kama ni kazi ambayo nilitaka mke wangu aje kuifanya kulingana na purukushani zake ,nikamtishia hadi kuachana nae ila ndyo hvyo binti hameshindwa kasema kuacha huku akidai kwamba atamuua mama yake kwa presha akikataaa sasa hivi
Ujumbe wake wa mwisho kwangu sababu kulingana na sheria za Chuo cha polisi Moshi hairuhusiwi kutumia simu ,nimeconfirm pia jina lake kwenye pdf la waliochaguliwa
Ujumbe wake wa mwisho ulikuwa " Nakupenda na naamin ndani yako kuna mwanga ambao Mungu mwenyew ameuweka,kila unachogusa kitafanikiwa naomb kwa Mungu akulinde na akutie nguv akufungulie na milango ya baraka Usisahau Nipo nawe na naamin kwako na moyo wangu upo upande wako daima....ubaki salam naiman kat ya watu waliochaguliwa kwenye scholar ship nawe upo ntakutafut Nikipata nafas na ikiwa nmerud hutakii mahusian na mim ni sawa ntakubalian na halii ila juwa Nakupenda San kutokukusikiliz kweny hili sio shida kwangu Niachee kukupendaa coz ni mwanaume mwema San kwangu na haijawah kutokea...sijawah kufikiria ksm ntskuj kupenda kuwa polis ila maish ya nyumbn na yangu nmeamua kufany maamuz haya...nakupenda San kaa ukifaham Hilo"
Niongeee kwamba huyu binti amekuwa mwanamke bora sana kuwa nae anasifa zote ,ni mpole anaskiliza ,hana mawenge yani she is perfect , binti pia anatokea Tanga ila anakaaa pwani.
Japo na mimi nina ondoka kwenda kusoma masters kwa scholarship Nchini Uingereza mwez wa tisa mungu akipenda ambapo ntakaa mwaka mmoja ila jambo hili limeniuma maana she is the one sitamani nimpoteze
Je nauliza Utaratibu wakumtembelea Mtu CCP moshi ukoje ,nikisema atleast niwe naenda moshi kila mwisho wa mwezi kumtembelea ruhusa yao ipoje ?
Wameondoka juzi tarehe 12 na ameniahidi kunitafuta japo sjui ni lini maana hawaruhusiwi simu ?
Kwenda moshi sio shida maana ndo nyumbani nimezaliwa na nimesoma mpaka form six kabla yakuja dar kusoma chuo na kufanya kazi
Je Kuna usalama kwel wa watoto wakike hapo CCP ? japo binti anajitambua sana najua hawez fanya ujinga .
Ntashukuru Nikipewa majibu
ni mzuri ila anajielewa ,ahsante wacha tuone itakavyokuwaMimi nilipoteza mpenzi wangu alienda polisi ni hivi wakifika kule wanaanza mafunzo huwa ni miezi kumi hadi mwaka yategemea na input ....
Sasa kwenye koz ya mwaka mmoja au miezi 10 huwa kuna mengi sana kama anakupenda anatakuchukua simu za wakufunzi na kukuanza kukutafuta kwa ajili ya mahitaji na nini hapo mara nyingi baada six week ...kama umepita jeshini unajua six week zikoje
Sasa kama mzuri sana ataanza kutongozwa sana maafande wakufunzi lakini pia wanafunzi wenzie watamsumbua sana kumbuka muda huo maisha ya mtaani anaanza kusahau mara nyingi kwenye combania yake atapata company labda ya kiume au afande.....so ni yeye tu kuwa muanifu...
Baaada ya mieze mitano kama kweli anakupenda ataendelea kukutafuta sasa baada ya hapo mwisho wa koz huwa kuna kupangiwa pia hapa maafande huwachukulia point ukinikubali nitafanya upangiwe dar au dodoma yote hayo vishawishi ....
Akitoka mara nyingi mtu pekee anamuona wa maana ni askari mwenye cheo cha juu au mwanajeshi au mtu yeyote kwenye vyombo vya usalama mara nyingi wanakuwa na ile upya kazini utashangaa hakutaki sababu muda huwa wanajiona sio raia so watu wa maana ni askari wa vyeo vya juuu .....
Sasa basi utashangaa karudi kabadilika ujue kule kashapata askari mwenzie basi na ule upya wa kazi hata uongee nini hakuelewi ....anakuona raia tu ...
Baada ya kuzoea kazi utashangaa wanaaanza kupenda raia wa kaWaida na sio polisi wenzao ndo ushangaa anaaanza kukutafuta tafuta baada ya kujua upolisi ni kazi ya kawaida sana
Naongea from experience kama mtoto wa askari na pia niliyepoteza baby aliyeenda ccp moshi na baadae akata kurudi.... kama ni mzuri sana jiandae ....kama mzuri wa kawaida umepona ...... jeshini dem mzuri hugombaniwa huitwa min'gao sasa akiwa tu mnga'ao umeisha bro
Kama mzuri hatoboi mark my words nimepita jeshini pia so nina uzoefuni
ni mzuri ila anajielewa ,ahsante wacha tuone itakavyokuwa