Mchumba wangu ameamua tuachane

Thanks! Et kosa langu kutomtafuta kwa miezi 2 hapo hapo akaamua kuwa na mwanaume mwingine
 
Hapo tatizo ni kipato!Kaisha jua kuwa yy anaingiza kipato zaidi yako

Haina haja ya kulia,ongeza juhudi then mambo kwenye akaunti yakiwa mazuri atakuja mwenyewe

Hawa wana thamini sana hela!
Siku zote Mwanaume ukishamuoa Mwanamke aliyekuzidi KIPATO NA ELIMU utaimba haleluya kabla ya kufa na presha ya kupanda na kushuka.
 
Mm bado nnajitegemea, bado nnaumachinga wangu mkuu. Pesa ya kula haisumbui
Jitahidi kusonga mbele umsahau huyo...kama walivyosema wadau atakuja tena atakuja anatammbaa...huo ndo utakuwa wakati muafaka wa kuonyesha wewe ni mwanamme
 
Siku zote Mwanaume ukishamuoa Mwanamke aliyekuzidi KIPATO NA ELIMU utaimba haleluya kabla ya kufa na presha ya kupanda na kushuka.
Lkn sisi tunawaoa hata wa darasa la 4 na maisha yanasonga mbele tu!Mwanamke kama ana make zaidi ya mwanamme mara nyingi ndani huwa vurugu
 
Wewe jamaa ungekuwA karibu yangu..nngekutia makofi..kichwa maji..sasa siumeshaambiwa ukweli..!unataka nini tena?anza maisha mapya.tafuta pesa ulee mtoto wako..!acha kupenda mteremko.
 
Kwahyo wa degree n kwa ajili ya degree mwenzakee mkuu
 
Ukimaliza kulia utajua la kufanya
 
Kaka kausha mpotezee....hakuwa anakuhitaj ndio maana kapata sababu......mkaushie utapata mwingine mkuu
 
Amekwambia form 4 harafu we unaandika kiswanglish... Utakuwa unamsaidia kweli?
 
Nakubaliana nawe kiongozi, sijui nn kifanyike sasa
Elimu ya dini ni muhimu sana....mwanamke mwenye elimu ya dini anakuwa na hofu ya Mungu na kuenenda katika njia nyoofu....kwani anajua kuwa akimtendea mabaya mumewe si tu kuwa atamchukiza mumewe bali pia atamchukiza mwenyezi Mungu......na hapo ndipo inapojengeka ndoa ya ukweli....
 
Ahahaaaaaa, atakua kakutana na dume la mkoani huko chuoni,sasa ngoja limsugue vema hiyo 'G' spot tu sasa maana hakuna namna!!
 
Asante dada, lakin sijajua kama mm ndo mwenye kosa. Au yy for me i thought atatafuta namna ya kulisolve hili tatizo kumbe mwezangu anamawazo mengine kabisa
 
Ok we ni wa form 4 umeoa wa form 4,akiwa na ndoto za kusoma zaidi akajiendeleza hadi akafikia level ya masters, unafanyaje?unamuacha? People love whom they want to love, people are loyal to whom they want to be loyal.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…