Mchumba wangu amapenda kujichubua

Mchumba wangu amapenda kujichubua

achana nae tu maana haina maana ya kuendelea kuwa nae iwapo hufurahii
mi kwa kweli baba yangu akiona tu mtoto wake anaanza kubadilika rangi anasema ipo siku nitakataa kuwa wewe si mwanangu maana kwa kweli sikumbuki kuwa na mtoto mwenye rangi hiyo!!!
 
wanawake wa mjini weeengi tunajikalolaitisha sijui ukisema umuache utabadili wangap

than God nimepewa anayejitambua, anayejipenda na kuithamini ngozi yake, kwa Hilo namshukuru Mungu!
 
halafu hawajui tuu hiyo midude yao inanuka kweli hata ukipishana na mtu amepaka hiyo anavuja jasho na harufu
 
nimejaribu kumwambia hivyo lakini anajifanya mbishi eti mafuta yana mdhuru bora atumie hivyo vipodozi vyake vya kujichubua!!
 
Jamani wakuu ahsante kwa shauri wenu nimeupokea, ntaufanyia kazi!! na nitawapa mrejesho.
Mungu awabariki sanaaa!!!!
 
Ngozi ambayo imechubuliwa kurudi kwenye rangi yake ya asili ni shida kidogo lakni inawezekana mwambie aache hiyo kitu sio nzuri kwanza inamuonesha ni jinsi gani hajiappriciate
 
kumbe ....

Yaani kwa sasa kupata mchumba natural ni wachache...Kama asipotumia mkorogo basi atatumia Creme za kuongeza makalio au Maziwa.. au mahips...Yaani wanawake wa mjini now majangaa...
Na hata ukimchukua wa kijijini, akija mjini nae atatamani apendeze kama wenzie.
Hata hao weupe hasa waarabu nao wanaongezea weupe...

CHEKI HAWA HAPA CHINI .....BEFORE & AFTER.....PILI ni dawa za kuongeza makalio na maziwa...Kariakoo zipo kibao nilipita juzi nikakuta moja ikabidi niipige picha tena bei rahisii 10,000 ili hata aliye wa hali ya chini anunue...Na nasikia wateja wengi ni wanafunzi wa Vyuo na Sekondary...

Kazi kwenu wanaume wa sasa mnakazi katika kuchagua Original na Feki..

Usishangae wewe mweupeee unaoa mke mweupeee unapata mtoto Mweusiiii...Kumbe kachukua weusi wa Baba au mama ktk mmoja wapo ametumai MKOROGO..

dawa za kukuza makalio.jpg DAWA YA KUKUZA MAZIWA - KARIAKOO.JPG BEFORE AND AFTER.jpeg BEFORE AND AFTER.jpeg BEFORE AND AFTER 3.jpeg BEFORE AND AFTER 4.jpeg BEFORE AND AFTER 5.jpeg
 
Yaani kwa sasa kupata mchumba natural ni wachache...Kama asipotumia mkorogo basi atatumia Creme za kuongeza makalio au Maziwa.. au mahips...Yaani wanawake wa mjini now majangaa...
Na hata ukimchukua wa kijijini, akija mjini nae atatamani apendeze kama wenzie.
Hata hao weupe hasa waarabu nao wanaongezea weupe...

CHEKI HAWA HAPA CHINI .....BEFORE & AFTER.....PILI ni dawa za kuongeza makalio na maziwa...Kariakoo zipo kibao nilipita juzi nikakuta moja ikabidi niipige picha tena bei rahisii 10,000 ili hata aliye wa hali ya chini anunue...Na nasikia wateja wengi ni wanafunzi wa Vyuo na Sekondary...

Kazi kwenu wanaume wa sasa mnakazi katika kuchagua Original na Feki..

Usishangae wewe mweupeee unaoa mke mweupeee unapata mtoto Mweusiiii...Kumbe kachukua weusi wa Baba au mama ktk mmoja wapo ametumai MKOROGO..

View attachment 162249View attachment 162250View attachment 162253View attachment 162253View attachment 162254View attachment 162255View attachment 162256
Asante sana kwa kutoa maelezo kwa kina, kweli shuguli ipo
 
Nawachukia sana wanawake wasiojikubali.

Mwambie ajibadilishe awe black tena akishindwa basi safari iishie hapo, huo ndiyo mtihani pekee unaomfaa!
 
Gubegube hilo sipati picha alivokuwa kama amoxylyn
mwambie aache akiendeleza achana nalo na micarolight yake
 
Alitaka usione tofauti kubwa kati yake na wa huko ulikokuwa;
 
yaaani wa hivi ndo namtaka maana nampiga vibao matakoni huku namsugua mpaka naacha alama za vidole...aaaaaghhhhhh Anna wangu weeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom