Mchumba wangu amapenda kujichubua

Mchumba wangu amapenda kujichubua

Achana nae tafuta mtu anaejielewa na anayejikubal na rangi yake
 
Tatizo ulikuwa unaweka za saizi sawa..jaribu moja kubwa na nyingine ndogo uone..!

Nafikiri panga zinazo kaa kwenye ala unazijua zinakuwa katika umbo gani?

Ala sio fuko mkuu hata kama ukitanguliza msumari chini itaonekana kunakitu na panaga haita kaa kama inavyo stahili.
 
yaaani wa hivi ndo namtaka maana nampiga vibao matakoni huku namsugua mpaka naacha alama za vidole...aaaaaghhhhhh Anna wangu weeeeeeeeeeeee

Hahahaha nimecheka kinomaa, Naona braza umemkumbuka Anna rangi mbili
 
Pole haisee. Mie demu anayejichubua yaani hata awe mzuri kivipi haki ya nani sifindishi, nakosa stimu kabisaaaaa.
 
Back
Top Bottom