- Thread starter
- #21
niko tayari
Nitumie namba zako kwenye email yangu then nakupigia for more conversation
niko tayari
Mahari kiasi gani,una nyumba au umepanga? unagari gani? unafanya biashara gani? bank kuna kiasi gani? unatokea Tanzania mji gani? dini gani? mengine nabakisha?
mabalaa yashaanza tena!!
We ni mgegedaji tu kama umejipanga ndo kusema hadi sasa hivi huna hata mchumba?
Umri siyo tatizo?
wakija wengi unirushie kaka mm ndoa mwakani ikishapatikana katiba mpya na mtoto wa kwanza ataitwa katiba
Ntumie namba zako kwenye email yangu hapo juu for more conversation
Wadada ndo wawe makini. Umeona hiyo email ID yake? Usikute huko mtaani panachimbika kila anapokuwepo. 28yrs hajui jinsi ya kutongoza mpaka anakuja jamvini? Nina wasiwasi na yeyendoa dec mh!!! kuwa makini
Mimi ni kijana wa kiume miaka 28 sijaoa natafuta mke nipo sirias nimeshajipanga vya kutosha nikimpata ndoa december 2014 kama kuna dada yupo tayari kuolewa tafadhali wasiliana nami kupitia email hii chachaadudu@gmail.com
Wadada ndo wawe makini. Umeona hiyo email ID yake? Usikute huko mtaani panachimbika kila anapokuwepo. 28yrs hajui jinsi ya kutongoza mpaka anakuja jamvini? Nina wasiwasi na yeye
dah hii kareeeeeeeeee
the foundation of marriage is based on friendship first otherwise its like building a house with foundation of sand
Mkuu ndoa dec 2014... Kwa ulimbo huo utawanasa wengi.. wadada wengi humu wanazeekea makwao.. Kwa offer hiyo watamiminika wa kutosha.. Wengine ukimpata wa kumpata.. Waliobaki utanirushia mimi nihangaike nao teh teh
mimi pia natafuta yeyote aliye tayari an pm tuongee vizuri