Mchumba wa mdogo wangu kazuiwa na ndugu zake kumuoa kwa kigezo cha dini tofauti ila mdogo wangu hajui

Kwanini ulijipeleka wakujue wewe na ndio maana unahangaika, kama hukuona shida na mdogo wako angebadili dini.. ulishindwaje kumpa ushauri!!.. pole kwa kujua umesababisha haya matokeo na wenzako pia mlioyafanya..
Dogo alikua tayali kuolewa na jamaa ila familia ya jamaa walipokuja kujua ni mkiristo wakamshauri asioe na hawakumwambia mwenzangu na mie ukweli uliofanya waghairi kumchukua
 
Yaani dogo hamsikilizi mtu, yeye anavyoona jamaa anamjali mtoto anaamini ipo siku atamchukua kumbe siyo familia imemuwekea x wanasema hawezi kuwapa makafiri posa
Zungumza nao sio lazima wakusikilize na kukuelewa leo, ukisema unaacha sasa nani atafanya kama sio wewe unayejua tatizo lilivyo?
 
Inaonekana hata kwenu mna malezi ya kiswahili sana !! Inawezekana vipi huo mdogo wako amezalia nyumbani na bado anatoka anaenda kulala kwa mwanaume anarudi asubuhi kwa mama yenu bado mnaona kawaida tu?
Ipo shida na pia nahisi familia yenu haina baba!!
 
Mkuu ulichozungumza kina 100%
Niishie hapo tuu
 
usipende kufuatilia wasichana,,,,,,oa uzae wako mfuatilie.....huyo mkubwa mwenzio...
 
2 . Naona dogo atakavyo telekezwa na jamaa .

3. Dgo ata pata mshtuko na kuhisi kma kapoteza direction ya life

4. Dgo ataanza kuwa cheap inshort yeyote atakae mtaka atampata as long as mwitaji awe mjanja mjanja na sound kibao

5. Atapigwa mimba ya pili

6. Punde tuu baada ya kutupa kichanga hicho ata jazwa ya tatu

7. To be continued
View attachment 1692374
Mkuu mwanzo sikukuelewa lakini sasa nimekupata
 
Ila hujajua fedheha tunauoipata
huwezi kubadili chochote.......labda mhame mji......kosa ni la wazazi......kuwa na mausiano na mtu wa dini tofauti inataka muwe matured 150%,, mnajitambua zaidi na zaidi........sio mnaishi kwa wazazi then mnaleta mbwembwe.....hata mimi sikubali....but mkiwa hukooo porini endeleeni,,,,nileteeni wajukuu nicheze nao....
 
Ndiyo nataka nione mtunzi atamaliza vp hii character yaani mwisho ni upi
 
Back
Top Bottom