Mchumba wa kike anasakwa.

Ok..
kuhusu huo uchumba ningejitolea lakini hiyo point ya 'kujitegemea' inanitisha
mmmh....kaka,utanihudumia kweli au ndo nikihitaji chochote toka kwako itakuwa
'si una kazi yako...'?!
naogopa...sijazoea

best ndio maana akasema anataka mwenye kazi!!! hakuna kuuliza hela ya chumvi, kibiri wala mkaa!!
 
Nawasalimu ktk Jina la Yesu Mwana wa Mungu alie hai.
Nimekuwa mpenzi wa Jf kwa muda sasa na nimeamua kujiunga ili nitafute mwandani wa maisha kupitia jamvi hili.
Nina umri wa miaka 28 na nina elimu ya chuo kikuu.
tafadhali sana kama kuna binti alie single naomba anitumie ujumbe mfupi.
Sifa kuu ni kama ifuatavyo.
1.mcha Mungu.
2.awe na anajitegemea.

Im so serious girls...this aint a joke.
Murphy Japan tunaenda kuchagua usafiri?
 
Nawasalimu ktk Jina la Yesu Mwana wa Mungu alie hai.
Nimekuwa mpenzi wa Jf kwa muda sasa na nimeamua kujiunga ili nitafute mwandani wa maisha kupitia jamvi hili.
Nina umri wa miaka 28 na nina elimu ya chuo kikuu.
tafadhali sana kama kuna binti alie single naomba anitumie ujumbe mfupi.
Sifa kuu ni kama ifuatavyo.
1.mcha Mungu.
2.awe na anajitegemea.

Im so serious girls...this aint a joke.
Una nyumba? iko maeneo gani una kazi? kazi gani? ...una gari? gari gani? tehetehetehe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom