Mchumba mwizi wa nguo za watu

Mchumba mwizi wa nguo za watu

Mkuu si Kila mwezi Ni Kila wiki naaminisha mkuu na nimefanya hivi ili aache nikidhani Wenda Hana nguo ila Jana tu dada yake ananiambia ameiba Tena nimfanyaje huyu binti nampenda kweli au nimpeleke wa wachungaji wakamwombee
Uyo Wala aina haja ya kumpeleka kwa wachungaji kaa nae chini zungumza nae kwanza badae ukiona aelekei basi waweza kumpeleka akapata maombi inawezekana ni pepo mana si kawaida, ila ivyo vitabia wapo wanawake ambao wanavyo kuna dogo mmoja ni wakike pia anayo tabia ya kukwapua tena yeye mpk pesa anakwapua
 
mwizi ni mwizi tuu kuacha ni vigumu, hivi sheikh ushawahi kutana na mtu katupia suti kali ila akiingia hotelini kula anasepa na toothpick nusu kikopo? au anatia mfukoni kikopo kizima!
 
Atakua ana jini nguo.mshauri aji keep bussy na uchaguzi
 
Back
Top Bottom