Sognsvann
Member
- Apr 3, 2025
- 40
- 88
Habari wana JF
Natafuta mwanamke mwenye heshima na upeo wa kiakili , na kimaisha ambaye yupo tayari kuishi maisha ya ndoa yenye upendo, heshima na furaha.
Ndoto yangu ni kumpata mwanamke wa umri kati ya miaka 25 - 30 ambaye hajawahi kuolewa na hana mtoto. Kama yupo mwenye uhitaji namkaribisha kwa moyo wangu wote - maana kilicho muhimu zaidi kwangu ni nia ya dhati ya kujenga familia imara.
Mwisho, natamani kukutana na mwanamke mwenye kumcha Mungu, awe Mkristo au Mwislamu, ambaye anaamini katika thamani ya familia, upendo wa kweli na uaminifu.
Kama maneno haya yanagusa moyo wako na wewe unatafuta mwanaume wa kweli, mwenye heshima, uwajibikaji, na nia ya dhati ya kujenga familia imara basi NAKUKARIBISHA KWA FURAHA.
Njoo tuanze safari nzuri ya maisha yenye UPENDO, FURAHA NA HESHIMA YA KUDUMU.