Mchumba, mpenzi na baba wa baadae


Dini imenikosesha sifa....
 
JF huwa naingia mara moja kwa mwezi au hata baada ya miezi 2 nimekuta PM nyingi ila naona.utaratibu umebadirika na mimi siwezi kuzifungua ambao hamjajibiwa naomba mnipe.mda nijifunze kufungua
 
Yaani uwe na mtu alafu wewe umpangie awe moro, au aje kuona familia moro, na bado umesema mambo ya chumba kimoja sijui nini?
Hivi wanawake mlioingia 30 mnajielewa kweli
mzee mbona andiko lake liko poa tu au macho yangu na ubongo vimetengana
 
Mbona kama vita vile?Sitaki kile nataka hiki, awe na kile asiwe na hiki.
Labda pia uwaambie na wewe una nini hasa, watajie sifa zako wadau, hapo ndo itakuwa ngoma droo. The way ulivyoiweka ni as if wewe tayari uko complete, na anybody mwenye hizo sifa anaweza kujaa kwenye mfumo wako Kitu ambacho ni nadra sana.Mapenzi na life hayajawahi kuwa mepesi hivyo NOT TO THAT EXTENT
 
Tupe sifa zako kwanza hebu jinadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…