Jamani mimi ni kijana mwenye miaka 27 mwenyeji wa mkoa wa shinyanga muda wa kuoa naona umekaribia nikiwa masomoni nilimpata mchumba binti wa kichaga ana degree lakini nyumbani wanataka nioe kwetu usukumani na awe std vii wana jamvi nifanyeje?
jamani mimi ni kijana mwenye miaka 27 mwenyeji wa mkoa wa shinyanga muda wa kuoa naona umekaribia nikiwa masomoni nilimpata mchumba binti wa kichaga ana degree lakini nyumbani wanataka nioe kwetu usukumani na awe std vii wana jamvi nifanyeje?
Inategemea na style ya maisha ya ndoa unayopenda, mara nyingi wazazi huhofia tofauti za culture na ku-prefer culture yao walio na uhakika nayo, km ni mke kwa malengo ya muda mrefu yaani bila kujali uzuri wa ujana na marembo, disco, elimu, high profile life na kwa kujali aina ya family watoto na wajukuu n.k. uvumilivu ktk shida n.k heshima thabiti yenye 20% kauoga, hakuna raha sn bali kuna amani ya uhakika mm nakushauri wasikilize wazazi
mama yake amekataaa ataki wachaga ... alafu hiii issue wasukuma wanayo sana kuna dada mwingine namfahamau wazazi wa mwanaume wa kisukumaa wamekataa haddi kutishia kutoa laana