Wasichana wengine matatizo sana, yaani akikaa kwene mahusiano bila kuleta chokochoko haoni raha anatafuta sababu hadi mgombane, mara akague simu akikuta hakuna sms yoyote kutoka kwa msichana ananuna eti lazima umezifuta, akiikuta sms kutoka kwa msichana ananuna eti utakuwa unamsaliti, yaan ilimradi vurugu tu.
Anataka hata ukiwa kwenye meetings uwe unatoka kila baada ya dakika 10 unampigia simu. angekuwa anafanya hivo kama alishawahi kukufuma unaweza sema afadhali lakini kama hujawahi kumsaliti alafu akawa anafanya hivo inachosha sana. Sijui mwanamke wa hivi anajua anavyoboa?? hata kama anatabia nyingine nzuri, na sijui kama akiachwa anajua sababu zake kutemwa au laa. Du yamenikuta bandugu.
Advice to girls; If you want your man to love you more: give him time (to be with his friends, to watch soccer etc), show that you trust him, be thankful and avoid your selfishness. utashangaa unapendwa hata kama si mrembo physically.