Mchumba hataki kusex anataka kulipa mahari

Aiseee shake well before use. Ata kama ni dhambi ya nini mbuzi kwenye gunia [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Jamaa aliambiwa asubiri sasa ana tekeleza alicho ambiwa
 
Nipe namba ya huyo demu nimshauri private
 
Hahahahahaha nmeishia kusoma comments na kucheka tu
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Jamaa aliambiwa asubiri sasa ana tekeleza alicho ambiwa
Ata kama. Jamaa ndo anajifanya yeye bandidu. Ungeambiwa wewe ungetekeleza [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ndiyo mkuu anashida sababu hata ulimdindo wa sabuhi hakupata may be..... au ana roho ngumu kukaa na nyama halafu unaambiwa usile duh hata kuitamani tu unashindwa habhaa hata me ningeomba gemu
mh hyo sio roho ngum mkuu itakuwa tu jogoo wake hawiki ipasavyo mimi kabisa nilale na mbunye kitanda kimoja halafu niicheki tu hadi asubuhi weee
 
Ata kama. Jamaa ndo anajifanya yeye bandidu. Ungeambiwa wewe ungetekeleza [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eeeh
Mi ukiniambia hakuna sex, furesh tu ni kama huyo jamaa,wote hatutaki kutishiwa nyau
 
Eeeh
Mi ukiniambia hakuna sex, furesh tu ni kama huyo jamaa,wote hatutaki kutishiwa nyau
Kwahiyo unakaa na mrekbo usiku kucha ata hushtuki. Basi utakua na kamchepuko [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Alimwongopea ana Bikra! Sasa kaona Jamaa akimkuta tofauti Shughuli itakuwa pevu....Naomba jamaa aendelee na msimamo huohuo.
 
Mwambie aombe radhi, atengue kauli yake kwa jamaa wapige mechi
 
The best thing huyu jamaa anaweza kufanya ni kuendelea kukaza hadi ndoa,huyo dada alipotikisa kiberiti alikuwa anamaanisha nini kwa mfano?
 
Kwahiyo unakaa na mrekbo usiku kucha ata hushtuki. Basi utakua na kamchepuko [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa kweli ntajikaza, maana wewe ndio ulianza kusema tusifanye so nakuonesha uwezo hadi asubuhi kimyaa!!
Na hata jamaa huwez jua labda ana pa kuponea pemben
 
The best thing huyu jamaa anaweza kufanya ni kuendelea kukaza hadi ndoa,huyo dada alipotikisa kiberiti alikuwa anamaanisha nini kwa mfano?
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Ana tishia mtu mzima nyau akome, hata mimi namshauri jamaa akaze mpaka mwisho
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…