happy amos
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 251
- 434
Wapi nimeingilia??? ndugu yako wa jinsia yako hawez kukuomba ushauri??Ndoa huwa ailazimishwi aiseeeee.....
Ndoa ni jambo la kheri, na kheri ni mpango wa Mungu...
Alafu kwanini unaingilia mambo na mahusiano ya watu...!!? Mwisho utaja itwa mchawi aiseeeee
Hilo la kubeba mimba washauriane kwanza akikubali abebe. Akikataa ampige chiniNina Mdogo angu anamchumba wake wamekuta tangu march mwaka huu wamekua wapenz na kuahidiana ndoa Dogo ana 28 jamaa yake ana 35yrs
Mwez wa 8 Mdogo angu alienda short course jamaa akamwambia ukirudi tu tunatambulisha kwa wazazi
Aliporud kimya wakaendelea na mapenz akaamua tu amsikilizie kwanza jamaa akawambia DEC tutaanza utaratibu wa kutambulisha....anasema kimya kajaribu kumuulizia vp kwenu tunaenda ln??? Hakutoa jibu lolote
Ila anadai jamaa wapo vizur tu hawana ugomvi jama akijisikia anaenda kulala kwa dogo
Hata Dogo akiamua anaenda analala kwa Shem....mipango ya badae wanapanga wote... Tatizo ni hilo tu jamaa kwa umri alionao angetakiwa awe na familia
Dogo anaogopa kubeba mimba maana wanajiachia tu alafu pia anapoteza watu walio serious kumuoa kwa kuhofia kumkosea mpenz wake
Anaomba ushaur jaman
Mwanaume halazimishwi ndoa na wala huna haja ya kumkumbusha, tukipenda wenyewe utashangaa tunasema na kutekeleza.Nina Mdogo angu anamchumba wake wamekuta tangu march mwaka huu wamekua wapenz na kuahidiana ndoa Dogo ana 28 jamaa yake ana 35yrs
Mwez wa 8 Mdogo angu alienda short course jamaa akamwambia ukirudi tu tunatambulisha kwa wazazi
Aliporud kimya wakaendelea na mapenz akaamua tu amsikilizie kwanza jamaa akawambia DEC tutaanza utaratibu wa kutambulisha....anasema kimya kajaribu kumuulizia vp kwenu tunaenda ln??? Hakutoa jibu lolote
Ila anadai jamaa wapo vizur tu hawana ugomvi jama akijisikia anaenda kulala kwa dogo
Hata Dogo akiamua anaenda analala kwa Shem....mipango ya badae wanapanga wote... Tatizo ni hilo tu jamaa kwa umri alionao angetakiwa awe na familia
Dogo anaogopa kubeba mimba maana wanajiachia tu alafu pia anapoteza watu walio serious kumuoa kwa kuhofia kumkosea mpenz wake
Anaomba ushaur jaman
Umeniacha njia panda ya himo sidesMtu isipomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake
Umeniacha njia panda ya himo sides
Umeingilia mkuu...Wapi nimeingilia??? ndugu yako wa jinsia yako hawez kukuomba ushauri??
Alafu dada mtu ndio amekuja kumuombea ushauri huku....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Miaka 28 mwingine 35mijitu mizima hiyo ila haijielewi
Naunga mkono hojaMwanaume halazimishwi ndoana wala huna haja ya kumkumbusha, tukipenda wenyewe utashangaa tunasema na kutekeleza.
Hatuhitaju kukumbushwa ukiona hatujaanya jua bado hatujawa tayari ama hujamshawishi kuwa wafaa kuwa mke bado anapima au anapoteza muda
washauriane kubeba mimba? kwanini wasishaurine ndoa kwanza?Hilo la kubeba mimba washauriane kwanza akikubali abebe. Akikataa ampige chini
Mi naomba uniambie sehem nilipoingilia tuUmeingilia mkuu...
Hata kama ni ndugu yako wa damu, yeye ndie anapaswa kumjua mwenza wake kiundani na inapo tokea akashindwa kumjua mchumba wake basi maana yake huyo mdogowako hajitambui na hauji hatma ya huo uchumba.
Yaani anacho kifanya hapo ni guigawa papuchi kama kichocheo "mlungula" ili apate nafasi ya kuolewa.