Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,127
- 124,688
Kwani unaongea na wangapi? Unaongea na mimi halafu unaweka wingi?Haya bhana! Endeleeni tu kujiaminisha hivyo
Kwani unaongea na wangapi? Unaongea na mimi halafu unaweka wingi?Haya bhana! Endeleeni tu kujiaminisha hivyo
Alifanya uchunguzi wa kutosha kwamba jamaa alikuwa mume wa mtu?? Au aliaminishwa na uvaaji wa Pete na kusuasua kwa mgawanyo wa Mali?? Unajua case za hapa jukwaani mara nyingi ni za upande mmoja tu, yeye kaongea yake yoooote ila hatujapata kumsikia the so-called mime wa mtu .From your experience or mine?
Sasa unataka aendelee na huyo mume wa mtu aliyekuwa anamdanganya na kumptotezea muda? na aliemuacha?
Ooopppsss my badKwani unaongea na wangapi? Unaongea na mimi halafu unaweka wingi?