cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 28,899
- 78,944
Baada ya kuuliza haya nimeachwa rasmi
Kaona umepata akili, mshukuru Mungu kwa jambo lililotokea. Huyo alikuwa na mengi zaidi anakuficha. Labda hata alitaka kuiba nyota yako au kukutoa kafara kivyovyote vile.
Pole na usimlilie, Mola atakupatia mtu sahihi na bado hujakutana naye. Sali