financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,523
Dear bbade njoo umuone shemeji huku anatupa moyo wengine wakati he's already taken dooh[emoji3] [emoji3]@bbade unaitwa huku na financial services
Dear bbade njoo umuone shemeji huku anatupa moyo wengine wakati he's already taken dooh[emoji3] [emoji3]@bbade unaitwa huku na financial services
Upo A town?Mstari wa mwisho umenifanya nibadili mawazo ya kuja PM[emoji37][emoji37]
Hapana mkuuUpo A town?
@bbade unaitwa huku na financial services
mmhhapana usijali ukiona hivyo ujue...nafasi ipo wazi
Mmmh ,hapana thank you for the offer thou[emoji3] [emoji3]hapana usijali ukiona hivyo ujue...nafasi ipo wazi
Aisee! Itakua jambo jema sana maana ni embe hili lipo chini ya MnaziThank you kama vipi uwe ushafika now ,na uwe ndye wewee[emoji3] [emoji3]
Ohoo, hili ni limao/ndimu mkuu chachuu [emoji3] [emoji3]Aisee! Itakua jambo jema sana maana ni embe hili lipo chini ya Mnazi
Sawa sawa ila Ndimu/Limao uchachu wake ndio utamu wakeOhoo, hili ni limao/ndimu mkuu chachuu [emoji3] [emoji3]
Mstari wa mwisho umenifanya nibadili mawazo ya kuja PM[emoji37][emoji37]
Hehee! Nyani haoni ....unakosa had ngv khaa [emoji23][emoji23][emoji23]alafu anatamani msomi sijui mwajiriwa yy kuandika tu majanga
Sina sifa no 1 & 2 , tusio wazuri tupendwe na nani sasa dah
Endelea kuvuta subra mkuu wanapitia uzi wako kisha watakuja
Umri zero pia bado hawajakuwa .
Mstari wa mwisho umenifanya nibadili mawazo ya kuja PM[emoji37][emoji37]
unakosa had ngv khaa [emoji23][emoji23][emoji23]alafu anatamani msomi sijui mwajiriwa yy kuandika tu majanga