Mchumba anahitajika

Hii ni ishara mbaya sana,kwa nini wahitimu vyuo vikuu kila Mara wanatafuta wake au wanaume mtandaoni?Naogopa kuita wasomi,inaleta ukakasi.Msomi ni nani? Lo!
 
Vipi hapo mtaani, mataa wa pili na watatu hakuna wadada wenye hivyo vigezo au ndio ulikuwa domo zege ukasahau kuandaa mazingira mapema.
Usijali utampata unae mtafuta.
Mke mwema hupatikana kwenye social networks.

mke mwema hupatikana popote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…