Fursa hiyo acha kuzugaNimemkumbuka Brigadia mafia
Hapana mkuu. Wasomi sio tatizo. Wanaolewa mbona. Hivyo vigezo vyangu mimi tunaona taratibu sasa wanaume wasomi wenye degree zao sasa wanaona bora waoe form four ladies tuu maana hawa wanawake wenye degree full mistress....naona karibuni wanawake watacha kwenda chuo ili waolewwe
Hapana mkuu. Wasomi sio tatizo. Wanaolewa mbona. Hivyo vigezo vyangu mimi tu
Mkuu sikuwa na mda wa kuandaa mazingira. Sijawahi kukaa sehemu nikatulia, nilikuwa mtu wa mizunguko na nilikuwa sijalipa kipaumbele suala la mahusiano.Vipi hapo mtaani, mataa wa pili na watatu hakuna wadada wenye hivyo vigezo au ndio ulikuwa domo zege ukasahau kuandaa mazingira mapema.
Usijali utampata unae mtafuta.
Mke mwema hupatikana kwenye social networks.
Aliejiajiri pia humtaki?Ni matumaini yangu kila mtu yuko poa.
Baada ya kukaa nikatafakari sana nimeona maisha ndo haya haya, wakati ndo huu. Hakuna sababu ya kusubiri sana.
Mimi ni kijana miaka 27.
Nina shahada ya kwanza, nilihitimu miaka mitatu iliyopita.
Ninaishi Dar es Salaam japo sio mzawa wa hapa.
Bado sina ajira maalum lakini napata kipato cha kujikimu.
Ni muislam.
Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo:
Umri chini ya 26.
Elimu, sio chini ya kidato cha nne.
Muislam na mcha Mungu.
Tabia iliyo njema.
Bila kusahau, awe mrefu au wasitani. Sihitaji kabisa Short.
Mwenye kujituma katika utafutaji (muajiriwa simuhitaji sana, labda kama ni mwalimu nitakufikiria).
Ikikuingia akilini ukajiona unafaa basi unakaribishwa PM.
Jamaa hana masharti mengi. Jaribu kumchek usichezee bahati. It can be you [emoji23] [emoji23]Mhm ☹️hayo masharti km mganga wa kienyeji utapata kweli mchumba
Jamaa hana masharti mengi. Jaribu kumchek usichezee bahati. It can be you [emoji23] [emoji23]
Aliyejiajiri safi sana.Aliejiajiri pia humtaki?
Umeona eeh?Jamaa hana masharti mengi. Jaribu kumchek usichezee bahati. It can be you [emoji23] [emoji23]
Basi usihofu mchumba au mke umepata nakuja pm.Aliyejiajiri safi sana.
Karibu AysherBasi usihofu mchumba au mke umepata nakuja pm.
I missed you more JoanahBasi I missed you
Karibu tena[emoji28] [emoji28]
Hadi sasa sijapata PM yoyote.Cjawah kuona tangazo tamu kama hili ila naamini utapata humuhumu kwasababu umejieleza vizur ila jiandae kwavibomu
Ahsante brigadiaKaribu Aysher