Wakuu,
Mimi ni mvulana (26) nimehitimu chuo kikuu cha UDSM fani ya Elimu na Sanaa (BAED). Mwaka 2011 nilimpa mimba mpenzi wangu nikiwa kidato cha sita naye akiwa cha tatu, akaacha shule nikamuahidi kumuoa, lakini baadaye akaona nimechelewa akawa ametoroshwa na mwanaume fulani kuja Dar.
Cha ajabu kwa sasa amezalishwa na ananitaka mimi nimtoroshe tena wakati nyumbani kwao mumewe anajulikana na wako naye hadi leo. Na mimi nimepata mchumba mwingine. Nifanyeje maana naheshimu ndoa yake na pia yeye anakuja hadi kwetu.
Mulugo has left a disastrous impacts in our education sysyem.
If you are a university graduate and you cant make decision on your own about those simple issues there is no way this country will achieve anything.
Wewe na ndugu zzako wa kijijini ambao hawakwenda shule mna tofauti gani,hii ni aibu.
Wakuu,
Mimi ni mvulana (26) nimehitimu chuo kikuu cha UDSM fani ya Elimu na Sanaa (BAED). Mwaka 2011 nilimpa mimba mpenzi wangu nikiwa kidato cha sita naye akiwa cha tatu, akaacha shule nikamuahidi kumuoa, lakini baadaye akaona nimechelewa akawa ametoroshwa na mwanaume fulani kuja Dar.
Cha ajabu kwa sasa amezalishwa na ananitaka mimi nimtoroshe tena wakati nyumbani kwao mumewe anajulikana na wako naye hadi leo. Na mimi nimepata mchumba mwingine. Nifanyeje maana naheshimu ndoa yake na pia yeye anakuja hadi kwetu.
Wakuu,
Mimi ni mvulana (26) nimehitimu chuo kikuu cha UDSM fani ya Elimu na Sanaa (BAED). Mwaka 2011 nilimpa mimba mpenzi wangu nikiwa kidato cha sita naye akiwa cha tatu, akaacha shule nikamuahidi kumuoa, lakini baadaye akaona nimechelewa akawa ametoroshwa na mwanaume fulani kuja Dar.
Cha ajabu kwa sasa amezalishwa na ananitaka mimi nimtoroshe tena wakati nyumbani kwao mumewe anajulikana na wako naye hadi leo. Na mimi nimepata mchumba mwingine. Nifanyeje maana naheshimu ndoa yake na pia yeye anakuja hadi kwetu.
Ni muhitimu wa chuo kikuu cha Dar es salam huyo.Nazani japo huyo demu hana shule ila ana akili kubwa kuliko wewe unataka ushauli wa aina gani hapa kama sio upanzi unaleta.
Mie nakushauli na wewe ukaolewe na huyo jamaa
Watu wengine bure kabisa
AiseeeWakuu,
Mimi ni mvulana (26) nimehitimu chuo kikuu cha UDSM fani ya Elimu na Sanaa (BAED). Mwaka 2011 nilimpa mimba mpenzi wangu nikiwa kidato cha sita naye akiwa cha tatu, akaacha shule nikamuahidi kumuoa, lakini baadaye akaona nimechelewa akawa ametoroshwa na mwanaume fulani kuja Dar.
Cha ajabu kwa sasa amezalishwa na ananitaka mimi nimtoroshe tena wakati nyumbani kwao mumewe anajulikana na wako naye hadi leo. Na mimi nimepata mchumba mwingine. Nifanyeje maana naheshimu ndoa yake na pia yeye anakuja hadi kwetu.
Aiseee
Ndio waalimu nyinyi eee! Jambo ambalo mtoto Mdogo tu anaweza pata jibu lake kirahisi tuuu....
Acha kula makombo, if u wanna try smthng new nitafute. Stop ranting and enjoy life. Mapengo 17