Hebu weka picha yake tuone wengine hatujawahi kuonaKama yai la Pweza.
tunazidi kusubiri mkuu tuone hatmaRate ya kufa inahusiana na viwango vya maambukizi. Hakuna anayeombea au kutaka rate hizo. Hata hivyo ukweli mchungu haisaidii kuuficha.
Tusidanganyane kuwa kama watanzania tunapata Corona tunapoona. Kenya, Tanzanian, DRC wamekuja watu tena weusi.
Hakika mkuu.Ndo ukweli huo. Baadae ndo tuna apply theory ya Survive of the Fittest
inaona hawa watu nikiwatembelea nitawamaliza burelabda afrika ina njaa sana hadi covid19 anatuonea huruma.............