Bila shaka hii nayo ni kwa hisani ya NSSF kama daraja la kigamboni halafu mwisho wa siku wanaweka meter yao pande zote za fly over ili kila gari lilipie.
Mipango ya kuambiwa
Ile DART morogoro road tayari imeshafeli hata haija maliza.
TRL walitoa ushauri ijengwe metro sehemu ile lakini wakasikiliza WB.
Leo tumejengewa road kama inapita train.gari ikiharibika siku hio hakuna safari.yaami akili zetu sio zile za kuchanganya na zetu bali ni zao tu...huu ni msiba
Bado mingine itakuja tu, maana sisi tunadanganywa kwa maneno yanayoambatana na picha. Hadi 2015 tutaona michoro mingi mno na kura nyingi tutawapigia kwa picha tulizooneshwa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.