Mchoro wa fly over ya Tazara itakavyokuwa

Mchoro wa fly over ya Tazara itakavyokuwa

bado naivutia picha tu hiyo fly over itakuaje na kijinafasi kile...!? kama ninavyosubilia kuona hayo mabasi yaendayo kasi kama yatasababisha kupungua kwa foleni,maana sasa hivi daladala zetu za zamani hazina vituo zinasimama barabaran..
 
ujenzi umeanza mkuu,wakati taarifa inarushwa mitambo ilikuwa inanguruma ikiwa ni pamoja na magreda,na mabuldoza yakiendelea na kazi

Si muda mrefu wataacha mahandaki tu hapo yatakuwa maeneo ya mateja kwenda haja
 
ujenzi umeanza mkuu,wakati taarifa inarushwa mitambo ilikuwa inanguruma ikiwa ni pamoja na magreda,na mabuldoza yakiendelea na kazi
Kama Dozer,Exc,Greda umeziona live bila chenga that is 100% good move sijapita hiyo mitaa 3 weeks now.
 
ayaaaa kile kijiwe cha kukamata boda boda na kibanda chao pale kitahamia wapi sasa? :A S-eek:
 
Nasikia na daudi belali yuko hai na ndio anafadhili huu mradi!

Tutasikia mengi...
 
Back
Top Bottom