Saaana[emoji5]aisee pole kwa familia, Mungu awatie nguvu.
jamaa alituburudisha sana kipindi hicho.
R.I.P.
mbele yake nyuma yetu.
hahahahahaha...Kuna siku wife wa Sokomoko kaenda mbio mpaka katika kilabu cha pombe kamvuta Sokomoko toka ndani ya kilabu na kumwambia nyumbani pamevunjwa tumeibiwa soko akamuuliza je ile chupa yangu pale uvunguni ipo? mke akajibu yenyewe hawakuiiba. Basi Sokomoko tartiibu akamwambia mkewe kumbe wizi wenyewe mdogo tu huku akirudi kilabuni.
Nawe ulichorwa na nani?R.I.P