majuto mperungu
JF-Expert Member
- Jul 20, 2012
- 394
- 116
sio kila mwendesha gari ni la kwake wengine ni ma dereva 2.
very deep.sio kila aliyeko jf ni greatthinker
wengine ni Vilazaaa
sio kila aliyeko jf ni greatthinker
wengine ni Vilazaaa
Sio kila fisadi ni CCM wengine ni waungwana sana.
Mmhhhh!!! Hapa kiongozi umekoseaaaaa!!!!
Sio kila mwenye kitambi ni mimba, wengine Obesity
Sio kila nanii ni nanii zingine ni naniliu!