JFKAMANDA
Senior Member
- Sep 1, 2013
- 122
- 45
1: Maid wenu ni zuzu alinunua mandazi kwa hoteli alipofika nyumbani akazichemsha ili apate supu
2: Naskia babu yako ni mkali sana akikasirika sana anakunywa painkillers!!!
3: Boyfriend wako amekonda mpaka ikawa shingo ni kubwa kuliko mwili
3: wewe una dhambi mpaka shetani anakuchongoa
4: Umesota hadi unanunua sambusa za mtumba
5: wewe ni maskini hadi unatengeneza sausage za viazi
6: kwenu ni mbali hadi saa za kwenu mmefunga aerial!!!!
7: wewe ni ---- hadi unatengwa na laini za vodacom
8: Naskia mke wako ni mweusi hadi ukimbusu lips zako zinaungua
9: Baba yako ni mchoyo hadi akinunua mkate anasema kila mtu anuse na akalale.
10: wewe ni mfupi hadi ukivaa buti zinafika shingoni,!!!!!!!!
Jogs jogs ongeza na zako hapo