Mchinaaaaa weee wacha tu

Mchinaaaaa weee wacha tu

blacks.jpg
 
Heeh huo ugonjwa sasa! Probably something went wrong with her hormones! Sio kawaida!
 
Hiyo sio kazi ya Mchina, hayo ni matokeo ya hiyo misosi aliyoshikilia.
 
Walah ulipate hilo kwa hot chair na konyagiiiii!!!!!????
 
mtawasingizia hawa wachina kwa kila kitu.mtawasingizia hawa wachina kwa kila kitu.
 
hapo sio mchina wala msosi, suala ni kwamba huyo ni abnormal!! sio kila kitu mchina bwana
 
yaani hata KFC imekua ya mchina, wabongo kweli wanapenda mkumbo
 
Back
Top Bottom