Dada mmoja alizaa na MCHINA. Bahati mbaya mtoto akafariki dunia.
Yule dada alilia sana sana, mara akasikika skilia kwa sauti kubwa " Nilijua tuuu.....mimi nilijua tuu....nilijua tuuu."
Ikabidi akaulizwe, unasema ulijua nini, Akajibu "NILIJUA TU VITU VYA KICHINA HAVIDUMU"
Watu wakabaki............................