Inaonekana hufuatilii, Volkswagen ya ujerumani inanunua teknolojia za gari za umeme kutoka kampuni za china. Wamesaini mikataba na kampuni za magari ya umeme kama leapmotor, xpeng na saicAnasubiri apewe technology na wazungu.. wamarekani Kwa sasa hawatoi technology yao ovyo.. mchina Hana anachojua Zaid ya kukopy
Shida yetu wabongo ni kuongea tu bila kufanya research, juzi hapa nilikuwa naongea na mwakilishi wa kampuni moja ya mauzo ya magari ya umeme no fosil fuel.Kulingana na hali ya bei za mafuta kuendelea kupanda siku hadi siku, naiona fursa kubwa kwa soko la magari yanayotumia nishati mbadala kama vile umeme nk.
Mimi binafsi ntakua mteja wa kwanza kwanza kabisa pindi magari hayo yakianza kupatikana maana nimeshachoka na hizi bei pasua kichwa za mafuta na maringo ya wenye sheli.
Nawashauri wakombozi wetu Wachina waingie chimbo haraka sana wazalishe magari madogo mazuri yanayotumia umeme na watapiga hela ndefu maana yatanunuliwa kama njugu!
Yaani hata watoto ambao tunasema wataibadili nchi nao wanaanza wizi wakiwa shuleWazo Sana hili
Lakini ngozi iliyolaaniwa ipo ipo tu ,inafikiria ukwapuaji tu
Ni laana inayoitafuna nchiMuda tulio nao ni kusifia serikali, na kuiombea nchi
Kwanini usitengeze wewe kwani wewe unatofauti gani na mchina?matatizo ya mafuta yako China au nchini mwako?Kulingana na hali ya bei za mafuta kuendelea kupanda siku hadi siku, naiona fursa kubwa kwa soko la magari yanayotumia nishati mbadala kama vile umeme nk.
Mimi binafsi ntakua mteja wa kwanza kwanza kabisa pindi magari hayo yakianza kupatikana maana nimeshachoka na hizi bei pasua kichwa za mafuta na maringo ya wenye sheli.
Nawashauri wakombozi wetu Wachina waingie chimbo haraka sana wazalishe magari madogo mazuri yanayotumia umeme na watapiga hela ndefu maana yatanunuliwa kama njugu!
Sisi hata kukopi toothpick tumeshindwaAnasubiri apewe technology na wazungu.. wamarekani Kwa sasa hawatoi technology yao ovyo.. mchina Hana anachojua Zaid ya kukopy
Any car can be converted into electric vehicle with easy. Huitaji kununua gari ya umeme toka china. Just buy EV conversion kit. Hii itafanya ist yako iwe gari ya umeme.Kulingana na hali ya bei za mafuta kuendelea kupanda siku hadi siku, naiona fursa kubwa kwa soko la magari yanayotumia nishati mbadala kama vile umeme nk.
Mimi binafsi ntakua mteja wa kwanza kwanza kabisa pindi magari hayo yakianza kupatikana maana nimeshachoka na hizi bei pasua kichwa za mafuta na maringo ya wenye sheli.
Nawashauri wakombozi wetu Wachina waingie chimbo haraka sana wazalishe magari madogo mazuri yanayotumia umeme na watapiga hela ndefu maana yatanunuliwa kama njugu!
Kuna mwanafunzi wa Udom huko, nilisikia kagundua njia mbadala ya kutengeza petrolKwann kama taifa tusinifunze kuzalisha aina mbadala wa mafuta ya kuendeshea gari pasipo kutegemea Muarabu hali malighafi tunazo tele zinaoza tu
Utasema
Yote but mchina si lolote mbele ya mzungu
Zipo nyingi na simpleKuna mwanafunzi wa Udom huko, nilisikia kagundua njia mbadala ya kutengeza petrol
Kwani huo umeme ndo utakuwa wa nafuu bwashee, kitu cha utosini kiko palepale.Kulingana na hali ya bei za mafuta kuendelea kupanda siku hadi siku, naiona fursa kubwa kwa soko la magari yanayotumia nishati mbadala kama vile umeme nk.
Mimi binafsi ntakua mteja wa kwanza kwanza kabisa pindi magari hayo yakianza kupatikana maana nimeshachoka na hizi bei pasua kichwa za mafuta na maringo ya wenye sheli.
Nawashauri wakombozi wetu Wachina waingie chimbo haraka sana wazalishe magari madogo mazuri yanayotumia umeme na watapiga hela ndefu maana yatanunuliwa kama njugu!
Tengeneza na wewe kama halina cha ajabu.Lakini mkuu kwani gari la umeme lina nini cha ajabu, si betri tu na mota?
Simple tu yeyeto anatengeneza hata home hata mimi nafanya project hio kwa matumizi yangu binafsi.Kuna Yule engineer anaezalisha petrol Kwa kutumia plastics toka Udom nadhani
Angepewa sapoti aweze kuzalisha Kwa kiwango kikubwa ,ila sidhani kama itawezekana Kwa maana namna watu weusi tulivyo wa hovyo
πππ€£ nimecheka kidogo nivunjike mbavu πKwakweli ni nomaView attachment 2740519
Maada ya Leo ni wachina dhidi ya wazungu..sisi wabongo yetu ya kuuza bandari tujadil siku nyingineWewe mbongo umefanya nini dunia ikakuelewa ukiachana na hao macho madogo ?
Acha taarabu wewe..Bado unaishi zama za mawe