Mchina awalilia Watanzania Wastaafu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchina awalilia Watanzania Wastaafu.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PakaJimmy, Jun 19, 2012.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Bw. Jing akimwaga machozi baada ya kukutana na wastaafu wenzie waliofanyakazi pamoja Reli ya TAZARA miaka zaidi ya 40 iliyopita.
  [​IMG]

  Bw. Jing alikutana na wastaafu hao wa TAZARA na kuona hali zao za maisha ambapo mara baada ya kumaliza kusalimiana nao alianza kumwaga machozi akikumbuka namna ambavyo aliishi nao miaka hiyo huku wakiwa katika hali mbaya ya maisha tofauti na jinsi yalivyo maisha yake nchini China.
  Kwa sasa Bw. Jing ni Mwenyekiti wa Shirika la Ushirikiano wa Tanzania na nchi ya China SINOTA Friendship Association

  [​IMG]

  MY TAKE:
  Inasikitisha sana...Inauma sana!
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Serikali haina ela tena wapo ambao walistaafishwa at the age of 55 badala ya 60!
  Kazi ipo!
  Na manunguniko ya hawa wazee huleta laana kwa viongozi bse ugumu wa maisha unawatesa
   
 3. K

  Kyoombe JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 653
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  asante kwa marudio
   
 4. doup

  doup JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Nilikuwa sijawahi iona hii, daah inatia uchungu. Hadi mgeni anaona kabisa hapa sipo.
  asante kwa mbandikaji
   
 5. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,334
  Likes Received: 3,130
  Trophy Points: 280

  Hee, akiwaona wa East African Community waliostaafishwa bila mafao si ndio atazimia kwa mshituko!
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Hao wazee suti walinunua miaka ileee...hii nchi yetu nayo!
   
 7. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Atazimia kabisa maana wale wazee wamesota kweli kweli
   
 8. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Huyu Mchina natumaini angewaona na hawa wastaafu wa ilyokua jumuia ya Africa Mashariki natumaini angerudi kwao siku hiyohiyo!
  [​IMG]
   
 9. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hi hawa wazee kosa lao lilikuwa nini, mbona hii nchi imekuwa katili sana....:embarrassed:
   
Loading...