Kijana auliwa na wasiojulikana Mwanza

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,638
697,929
Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 16 hadi 18, amekutwa amefariki eneo la Dampo kata ya Buhongwa Mwanza kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali maeneo mbalimbali ya mwili wake.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo wa wanaeleza kuwa kijana huyo alikuwa anaishi na wenzake wanne kwenye chumba kimoja japo bado hawajafahamu kwa kina hasa kilichomsibu hadi umauti kumkuta.

Balozi wa mtaa wa Shibai kata Buhongwa Deo Melikyadi, amesema kijana huyo aliyemtambulisha kwa jina moja la Ally, alikutwa amefariki leo asubuhi majira saa 11 alfajiri ambapo alikuwa amechomwa na kitu kinachosadikika kuwa kisu maeneo ya tumboni na shingoni.

"Baada ya kufika kwenye tukio nikamkuta huyu mtu aliyechomwa kisu anaitwa Ally, ndipo ikamtafuta mwenyekiti wa mtaa akaja na wajumbe tukamuangalia tukagundua kweli Ally amechomwa kisu tumboni na shingoni, alikuwa anakaa kwenye chumba cha kupanga na wenzake wanne tumewauliza wanasema hawajui ilikuwaje' amesema mjumbe.

Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza limeuchukua mwili wa kijana huyo kwa ajili ya uchunguzi.
FB_IMG_1700321565494.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzushi uko wapi hapo na CHADEMA inahusikaje hapo? Kumbe SYLLOGIST! Huna akili

Sent using Jamii Forums mobile app
'Yale mambo yamenza tena' ndio ina maana gani?

...Itoshe,

Kuna posti ya Retired imefutwa huko juu, naye amedai kiunagaubaga kwamba hayo ni mambo ya Makonda!
Kwa misingi hiyo ninaweza kutafasiri matamshi hayo yakimaanisha ni kuhusu kile kipindi cha watu "wasiojulikana" ...na nikizingatia, wengi walio dandia treni la fikra hiyo na dhana hiyo potofuh ni CHADEMA Digital, basi nachelea kusema ni Uzushi wa CHADEMA

Yaani ni mafundisho yaliyo kinyume ya ukweli ya viwango vinavyokubalika.
 
Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 16 hadi 18, amekutwa amefariki eneo la Dampo kata ya Buhongwa Mwanza kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali maeneo mbalimbali ya mwili wake.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo wa wanaeleza kuwa kijana huyo alikuwa anaishi na wenzake wanne kwenye chumba kimoja japo bado hawajafahamu kwa kina hasa kilichomsibu hadi umauti kumkuta.

Balozi wa mtaa wa Shibai kata Buhongwa Deo Melikyadi, amesema kijana huyo aliyemtambulisha kwa jina moja la Ally, alikutwa amefariki leo asubuhi majira saa 11 alfajiri ambapo alikuwa amechomwa na kitu kinachosadikika kuwa kisu maeneo ya tumboni na shingoni.

"Baada ya kufika kwenye tukio nikamkuta huyu mtu aliyechomwa kisu anaitwa Ally, ndipo ikamtafuta mwenyekiti wa mtaa akaja na wajumbe tukamuangalia tukagundua kweli Ally amechomwa kisu tumboni na shingoni, alikuwa anakaa kwenye chumba cha kupanga na wenzake wanne tumewauliza wanasema hawajui ilikuwaje' amesema mjumbe.

Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza limeuchukua mwili wa kijana huyo kwa ajili ya uchunguzi.
View attachment 2818049

Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzake huku pembeni wanasema eti dogo alifumaniwa, si unajua haya mambo ya vumbi la Kongo yanawafanya wasimamie show
 
Kilichofanya akomenti kua huna akili,ni wewe kumchokoza mwenzako ambaye hujui hata itikadi yake,kwakusema 'CHADEMA kwa uzushi',ilhali aliyeleta poasti hapa,hajahusisha taarifa hiyo na CHADEMA.
Kuna posti imefutwa huko juu ambayo ilihusisha "Wasiojulikana" na Makonda!

Vitu viwili tofauti.....haya ona na huyu posti yake
Afu Mwenezi si alikuwa huko ......Jamii iwe na tahadhari Mwenezi si wa mchezo mchezo
Kwani huyo kijana ameuwawa kwa sababu ya kuwa mwanachama wa CHADEMA? Waje waseme "Yale mambo yamenza tena"

mambo gani hayo?
 
Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 16 hadi 18, amekutwa amefariki eneo la Dampo kata ya Buhongwa Mwanza kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali maeneo mbalimbali ya mwili wake.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo wa wanaeleza kuwa kijana huyo alikuwa anaishi na wenzake wanne kwenye chumba kimoja japo bado hawajafahamu kwa kina hasa kilichomsibu hadi umauti kumkuta.

Balozi wa mtaa wa Shibai kata Buhongwa Deo Melikyadi, amesema kijana huyo aliyemtambulisha kwa jina moja la Ally, alikutwa amefariki leo asubuhi majira saa 11 alfajiri ambapo alikuwa amechomwa na kitu kinachosadikika kuwa kisu maeneo ya tumboni na shingoni.

"Baada ya kufika kwenye tukio nikamkuta huyu mtu aliyechomwa kisu anaitwa Ally, ndipo ikamtafuta mwenyekiti wa mtaa akaja na wajumbe tukamuangalia tukagundua kweli Ally amechomwa kisu tumboni na shingoni, alikuwa anakaa kwenye chumba cha kupanga na wenzake wanne tumewauliza wanasema hawajui ilikuwaje' amesema mjumbe.

Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza limeuchukua mwili wa kijana huyo kwa ajili ya uchunguzi.
View attachment 2818049

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 16 hadi 18, amekutwa amefariki eneo la Dampo kata ya Buhongwa Mwanza kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali maeneo mbalimbali ya mwili wake.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo wa wanaeleza kuwa kijana huyo alikuwa anaishi na wenzake wanne kwenye chumba kimoja japo bado hawajafahamu kwa kina hasa kilichomsibu hadi umauti kumkuta.

Balozi wa mtaa wa Shibai kata Buhongwa Deo Melikyadi, amesema kijana huyo aliyemtambulisha kwa jina moja la Ally, alikutwa amefariki leo asubuhi majira saa 11 alfajiri ambapo alikuwa amechomwa na kitu kinachosadikika kuwa kisu maeneo ya tumboni na shingoni.

"Baada ya kufika kwenye tukio nikamkuta huyu mtu aliyechomwa kisu anaitwa Ally, ndipo ikamtafuta mwenyekiti wa mtaa akaja na wajumbe tukamuangalia tukagundua kweli Ally amechomwa kisu tumboni na shingoni, alikuwa anakaa kwenye chumba cha kupanga na wenzake wanne tumewauliza wanasema hawajui ilikuwaje' amesema mjumbe.

Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza limeuchukua mwili wa kijana huyo kwa ajili ya uchunguzi.
View attachment 2818049

Sent using Jamii Forums mobile app
Dark Monster anaendana na ule uteuzi...
 
Ndio yale mambo yao ya kuunga unga. Uhalifu umetokea, plosi inafanya uchunguzi, wao tayari wanatuhumu. Yaani wanaleta Siasa, halafu ukiwajibu kisiasa wanaumuka....na vijimaneno, hiyo ni akili?

Ndio hapo unaanza kuamini kuwa mambo yao ni ya kuzusha zusha? tu
Chadema ni magoigoi

Wao ni watu wa kutuhumu na kualalama tu miaka yote

Kiufupi ni Magoigoi yaliojifia kifikra
 
Polisi watawadaka tu wahusika au mhusika
Ni kuanzia na waliokuwa anaishi nao halafu watatajana tu au kuonyesha njia
Ila na sisi tusiwe wepesi wa kutunga uongo maana kwa unoko hatujambo
Wenye mji watatuambia
 
Kuna posti imefutwa huko juu ambayo ilihusisha "Wasiojulikana" na Makonda!

Vitu viwili tofauti.....haya ona na huyu posti yake

Kwani huyo kijana ameuwawa kwa sababu ya kuwa mwanachama wa CHADEMA? Waje waseme "Yale mambo yamenza tena"

mambo gani hayo?
Mi mwenyewe ni moja ya watu ambao hatujaona hiyo post,but kwa common sense huwezi ukahusisha mauaji hayo na siasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom