Mchina aua, familia yahongwa mil 10

Bushloiaz

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
721
805
Wakuu habari ya jioni,

Jana mchana nilikuwa na jamaa fulani tunapiga story,akaja jamaa mwingine pale tulipokuwa na kusema juzi alh alpiga pombe sana kwa wachina wanaojiandaa kujenga barabara ya musoma/mwz,nikamuuliza walikuwa na sherehe akaniambia ndio,ya nini? Nikamuuliza tena akaniambia kuna mmoja wao alimpiga mtu(mtanzania) na jamaa akafariki sasa ndio walikuwa wamehangaika kwa ushirikiano na wale wachina walioko pale musoma hosp kumtoa huyo mchina na hiyo alh ndio walikuwa wamefanikiwa kumtoa ndio wakafanya sherehe

Familia ya alieuwawa imepoozwa mil 10,waliofanikisha kesi kuzimwa wamelipwa 20 mil,kama kuna mtu anaweza kuifatilia au anajua hii ishu zaidi anaweza ongezea info hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom