ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 10,292
- 4,974
Akili is not part of the acquired characteristicsTatizo ni Gens, kama ukoo wenu mna asili ya kupata F masomo yote unafikiri wewe utachomoaje? F zitakuhusu mpaka mwisho wa maisha yako.
Vincenzo Jr implicit memory Nomadix Al-mukheef na UHURU JR watakuja kukuambia kuwa huyo binti ana kipaji cha kiswahiliπ€£ππ ππ.mchina anapata B kiswahili anasikitika wakati kuna wabongo wanapata F wanachukulia poa,,,hongera kwake hongera kwa kutuacha uchi wa Tanzania
Mtazamo wako kuhusu kipaji haupo sahihi au unapotosha maksudi.Vincenzo Jr implicit memory Nomadix Al-mukheef na UHURU JR watakuja kukuambia kuwa huyo binti ana kipaji cha kiswahiliπ€£ππ ππ.
Wabongo nimewashindwaπ.
Nimesikitika sanaVincenzo Jr implicit memory Nomadix Al-mukheef na UHURU JR watakuja kukuambia kuwa huyo binti ana kipaji cha kiswahili
Wabongo nimewashindwa.
Kivipi mkuu.Mtazamo wako kuhusu kipaji haupo sahihi au unapotosha maksudi.
Mkuu njoo tuungane tuhubiri habari ya kutokuwepo kwa kipaji.Nimesikitika sana
Lakin ndo ukweliVincenzo Jr implicit memory Nomadix Al-mukheef na UHURU JR watakuja kukuambia kuwa huyo binti ana kipaji cha kiswahiliπ€£ππ ππ.
Wabongo nimewashindwaπ.
Hapo ndo umenichekesha zaidi ππ€£Lakin ndo ukweli
Unafikiri ni kwa nini hawafaulu woteHapo ndo umenichekesha zaidi ππ€£
SijuiπUnafikiri ni kwa nini hawafaulu wote
Sasa mtu anayejua hesabu unamwita kilaza? Historia ya Livingstone na Stanley kukutana Ujiji inakusaidia nini kwenye maisha yako? Bora hesabu inakusaidia kwa kiasi.Tuacheni utani wachina ni wagumu sana kuelewa huyo mchina ni genius tu kazaliwa hivyo.. Mimi nimesoma na wachina nchi za nje ni vilaza hatari. Wao wataluburuza tu kwenye Hesabu basi ..
Ndo ujue kuwa ni kipaji hichoSijuiπ
Cha kiswahili, siyo.Ndo ujue kuwa ni kipaji hicho
YeahCha kiswahili, siyo.
Hahaha πYeah
ππππMara tutasikia malalamiko kuwa "wachina wanachukua nafasi zetu katika mitihani, waondoke"!
Mkuu π€Hahaha π
Haaahaa π π YAANI maswali complicated kwanini asiseme JADILI DHIMA AU KAZI ZA FASIHI KATIKAJAMIIFasihi ni ukoko kwangua