Mchezo wa sabuni unanitafuna taratibu, naomba msaada niache

bigmen

Senior Member
Jul 3, 2020
145
310
Nikiwa na miaka 16 niliwahi mshuhudia jamaa yangu fulani akifanya punyeto (Masturbation) akanifundisha jinsi ya kufanya, nilipofanya mwishoni nilisikia raha moja ya ajabu sana, siku iliofuata muda ule ule usiku nikiwa peke yangu nikafanya tena na ndo ikawa mchezo wangu.

Baadaye nikiwa shule boading, pale Moshitech Sec niliwahi kukutana na jarida la FEMA, lilielezea kuwa punyeto/Masturbation kuwa haia madhara yoyote, baada ya kusoma hilo jarida basi niliongeza kasi ya kufanya.

Sasa imefikia mahali nisipo fanya hiyo kitu siwezi kulala, pia nishakuwa kwenye mahusiano sana, Ila ninapokuwa peke yangu huwa nafungua macho navuta picha ya wanawake nilio chapa huku nikifanya Masturbation, hata nikiwa kwenye mizagamuano nakuwa bao la pili nalitafuta kwa kuvuta kumbukumbu ya picha za x na pisi Kali zingine ili nieze pata bao.

Yaani hapa nilipofikia kwisha habari yangu, napambana sana kuacha Ila kila njia nayotafuta kuacha nafeli, wakuu JF nahitaji msaada wenu naachaje Masturbation.
 
20240129_230621.jpg


KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Zawadi kubwa ambayo unaweza kumpatia Mwanamke mzuri ni kumfikisha kileleni, yeye kwanza kabla yako. Akishafika kileleni mwanamke ndipo wewe Mwanaume unatakiwa ufuate. Ila unapowahi wewe mwanaume kufika haraka kileleni, kwanza lazima ujiskie aibu, pili unakua umemchafua tu Mwanamke wala hakuna ulichofanya amekula hela zako za bure, hizo hela bora ungepata dozi tu ya virutubisho. USIJIDANGANYE SHABABI KUBADILISHA WANAWAKE WAKATI MWENYEWE TATIZO LAKO UNALIJUA.Nakushauri uanze dozi
 
Ipo hivi hamna mwanaume ambaye hajawahi kupiga nyeto..mimi nlipiga sana nyeto had nkawa adicted yan nkipshana na dada mzur tu kosa..nipga nyeto hadi pumbu ya kushoto ilivimba baada ya kwenda hosptal nlipewa dawa na ikapungua ule uvimbe ila imekuwa ndogo tofaut na mwanzo kifupi m mlemavu..

Mbinu nilzotumia kuacha kwanza nafsi inabd ikiri toka ndan kwamba hutafanya tena,usikae peke yako mda mrefu..unavoenda kuoga usitumie mda mrefu..futa porn zote kwenye sim yako..Anza maisha mapya huku akili yako ikubal kutoka ndan kwamba its over..
 
Back
Top Bottom